Kumekucha! Mwenye Mkoa wake kaja na bonge la Mkwara na wala hatanii na Wamakonde nao wamesema wataondoka na Mtu

Mimi nadhani hana haja ya kuhofu. Ajifunze kwa Jokate namna ya kuboresha elimu. Ajue pia kwenye orodha kuna ya kwanza na ya mwisho.
Bro kwanini hujachukua Mfano kwa Anthony Mtaka? Jokate kafanya kipi Cha ajabu kisarawe upande was Elimu ambacho kimeleta matokeo chanya?
 
Nawaomba na hawa Watu wa Baraza la Mtihani nao waje na Majibu Kwake kuwa wanamuomba waende nae Kumpima Akili kama zimetimia hasa.
Bila majungu, uzandiki, fitina na unafiki mambo hayaendi sio? Poleni sana asee...

Mambo yenu magumu na mazito sana. Huyo blaza wa ntwara kakukosea nini huu uzi wa tatu unamfungulia...
 
Bila majungu, uzandiki, fitina na unafiki mambo hayaendi sio? Poleni sana asee...

Mambo yenu magumu na mazito sana. Huyo blaza wa ntwara kakukosea nini huu uzi wa tatu unamfungulia...
Kwa Takwimu kama si Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa huu ni Uzi wa Pili kumhusu huyu Bwana wako na mwambie aache Upumbavu sawa?
 
Stupidity is when,
The truth is there for all to see, Evidence of the truth is there ,but you believe the lie.
 
Kwa Takwimu kama si Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa huu ni Uzi wa Pili kumhusu huyu Bwana wako na mwambie aache Upumbavu sawa?
Wanna be..

Nilivyokuona mkesha wa kuingia mwaka huu mpya ukiwa siti ya mbele kabisa ukiimba na kusali kwa kupayuka kinywa wazi hadi jino la mwisho kuonekana nilijua angalau mwaka huu utauanza vizuri bila kauli zako za kipuuzi kumbe wapi bhana... tabia kama ngozi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ameliomba Baraza la Mitihani nchini kukanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikisema shule kumi za mwisho kitaifa zinatoka mkoani Mtwara jambo ambalo si kweli na hivyo kuleta sintofahamu kwa mkoa na umma wa Watanzania.

Taarifa: ITV Tanzania

Hata hivyo Mpiga Mkwara Mkuu asisahau kuwa kwa Kawaida Jambo la Kwanza huwa linashika zaidi Sikioni hata kama baadae likija Kukanushwa.
Hapa taasisi za serikali zitarushiana mpira kuhusu suala hili.Tatizo la mkoa wetu ni la kijamii zaidi,kama jamii itabadili imani za potofu za kuwacheza ngoma watoto,ndoa za utotoni ufaulu hauwezi Kuala mkubwa
 
Back
Top Bottom