Recent content by Mangi Kibo

  1. M

    JamiiForums Tanzania MOSHI: Polisi wanne mbaroni kwa kumvua nguo mchungaji wa kanisa

    Ndio mkae mzungumzie chumbani masaa yote we kabila gani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Majengo Tanzania: Marufuku kutumia simu za Mikononi muda wa kazi kuanzia Januari 2017

    Inamaana kwenye ofisi za serekali kila mtu ni marketing officer, pr, customer service ama nini? Na hizi nchi ulizotaja umefika maana Kenya tu hakuna huu ujinga wa hapa, SA mtu anakuona anakufahamu lakini hadhubutu hata kuacha kazi kukusalimia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na kupanda na kushuka kwa CHADEMA!

    Ndio maana Mkuu anaishia tu kulalamika oh kuna waliokuwa wanakusanya kodi za mizigo huko nje wamebadili majina, bila kuchukua hatua
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marais wa Marekani waliokumbana na mambo ya ajabu

    Kuna tetesi alikuwa karibu sana na watu wa jinsia yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bila ya Mlm.Nyerere na TZ KUBWA leo hii Uchagani kungekuwa na Civil War!

    Wasingepigana kwasababu walishaanzisha Chagga council na Wamangi wengine wote walikuwa wajumbe. Na walikubaliana Mareale awe Muitori ( Mkuu)
Back
Top Bottom