Pole sana kuwa series sana si suluhisho ila mwonyeshe jinsi unampenda mkeo kwa dhati yeye ndio hakimu wa kwanza kwako,pia jitahid wakati mwingine kumwelezea nikiasi gani ulikuwa mtulivu mpaka kumpata huyo mkeo na uwe vunamweleza sifa za mke wako unautofauti kati Yake na wanawake wengine ili...
Umesema kweli lakini nawe umetoka nje ya majukumu ya kanisa mambo hayo hayawausu yanayowahusu mi kuimiza upendo,upendo wa kweli kwa muumba,kukemea mambo yanayotofautisha watu kwenye jamii,elimu iliyobora na kuwatia Moyo viongozi wawe na hofu ya mungu tuuuuuuuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.