Recent content by mangelengele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

    Kumbe ni mnyarwanda! basi bwana sina haja ya kubishana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

    sasa km taarifa km hizi unakua hujazipata wkt mama kasema openly, ss kwenye internet unafatiliaga nini! Porn?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

    great thinker utakuwa wewe? Waafrika tunashida sana. Ungekua Great thinker si ungekua unafanya kazi na kina Microsoft saiz!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

    sahihi kabisa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

    Tunshukuru kwa jibu lakini "what's goes around comes around" hiyo si maana yake
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa sikuhizi nani amewaroga?

    Bora nikuoe mm Dada Katwe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ripoti ya CAG inaonyesha Sh. Trilioni 4.8 zimetumika bila kupita Mfuko Mkuu wa Serikali‬, Ikulu yatumika kuficha ukaguzi wa manunuzi ya ndege

    Kweli we ni Michosho, sisi tuna pima. Kufanya mazuri ni wajibu wa kiongozi lkn sio kwa hayo mazuri machache ndo watuibie hela nyingi namna hiyo. Tunajua zingine mmechukua za uchaguzi, ila hakuna marefu yasio na ncha, Sudani ilikuwa hivyo hivyo. Awamu hii ndo awamu watu wamekua na halo mbaya...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke atakuja kulalamika kuwa wanaume wabaya?

    Nimekusoma dadaangu, umeandika kwa akiri na hekima ya kikubwa, ila km ana try anaweza fanya kwa siri hata sisi tunajua mabinti hawanaga mpenzi mmoja hasa b4 ndoa, Siku jamaa akijua anaweza hisi bahatimbaya labda kapitiwa, mnaweza yajenga. Mbona tunagongewaga Mara kadhaa na mnayamaliza maisha...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke atakuja kulalamika kuwa wanaume wabaya?

    Hata mm ilinitokea kwa x wangu, aliniacha kwa mbwembwe kua sina mbele wala nyuma na alipata jamaa ambae alikua na uwezo kwa kweli, lkn yalimkuta eti akaanza turudiane. Alikuja Siku moja nikamgegeda na nikamwambia usirudie kunifwata fwata. Saiz yupo tu wahuni wanamzeesha. Tuwafundishe watoto wetu...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke atakuja kulalamika kuwa wanaume wabaya?

    We unafikiri wanaume ni wajinga? Nijue dem hana mapenzi na mm ana intrest zake af nigonge kavu! Kwa vijana wa Sikh hizi hawagongani kavu, labda km wewe ndo zako. Huyo dem kwa saikolojia ya vijana was kihuni angeweza kupigwa hata mtungo, na bado vijana wakatumia Mpira. Msichana anapo amua...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke atakuja kulalamika kuwa wanaume wabaya?

    Hayo ndo yalikua mapatano yao kua waje waoane, swala la kupeleka posa au nn hayo hayana mantiki, km binti alisepa kisa jamaa hakuwa na nia ya kuoa basi asingerudi. Shida inakuja alisema karudiana na Ex wake halafu jamaa kamtenda yeye anarudi tena kwa jamaa. To be honest Huyo binti hata akiolewa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tuna Media Freedom kubwa kuliko UK na US? Tushuhudie kitachompata Julian Assange wa WikiLeaks! Tujifunze kwake

    Kweli kabisa, watu wanadhani Assange kaonewa, kusengekuwa na sheria mitandao ingeleta shida duniani. Kunavitu watu wanatamani kufanya lkn sheria haziruhusu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tuna Media Freedom kubwa kuliko UK na US? Tushuhudie kitachompata Julian Assange wa WikiLeaks! Tujifunze kwake

    Uchungizi haukuonyesha km kubenea alihack information inawezekana kuna mtu alivujisha taarifa zikamfikia kubenea. Sidhani km hilo ni kosa la mwandishi, hilo ni tatizo la maafisa wa usalama kuwa taarifa hazitoki nje. Lkn Julian anakiuka sheria za kimtandao ambazo mataifa yote wanaheshimu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tuna Media Freedom kubwa kuliko UK na US? Tushuhudie kitachompata Julian Assange wa WikiLeaks! Tujifunze kwake

    Kweli me naona Mayalla usifananishe issue ya Julian aisee Yale sio level ya Africa, kwavyovyote yule anatumia hackers kitu ambacho ni kosa la jinai. Kwa hacking tu unaweza kuiba hata Banks ndo maana kukawa na mifumo ya Security. Hizo habari anazo zisema mayala ni uchunguzi wa kuhoji sources lkn...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CAG aongea na Wanahabari. Serikali Kuu kulikuwa na mapendekezo 91, mawili tu ndiyo yametekelezwa, neno "dhaifu" kuendelea kutumika

    We ndo pumba kweli Magu anasikilizaga ushauri wa nani? Nakuhakikishia ATCL itafilisika, na Dalili ni report hii. Mungu atupe uzima tu.
Back
Top Bottom