namini sikuzote ukweli unapobainika kinachofata ni aimbu mana ukweli utakua umejulikana na hakuna pakujifichia mana kila mahala patakuwa hapatoshi mimi namini wegine wanachekelea ila kwabadae watakuja kujuta mana laha itakua kalaha sio fulaha tena mana kila mfanyavo mnakuta tofauti na...
toka mj mdogo lalago habalin zasubui natumaini wote niwazima waafya tena jema mimi nataka niongelee kuhusu viogozi wetu nazani mnamfahamu eduwad ngoyai paka sasa hatimayake ikoje mana nae kajitangaza jana urais na mwingine nae katangazwa na tume hapo panakuwaje mana tunajua...
namini zimebaki siku chache tuigie kwenye uchaguzi nakila mumoja namini atafanya wamzi wake na kutimiza ndoto yake ila kunakitu kimoja nataka niongee tanzania ni ichi yenye sitolia zuli sana japokua iko chini kiuchumi ila inastolia yake kwaza amani pili kutokubaguwana vikabila na...
hata mimj na chagiq hio hoja nikweli huwezi jua kilicho mpata namini akitulia bona ataongea yaeye mwenyewe kuweni wapole na msimuone kama wa kwajilani muacheni madonda ya moyoni yaishe
kwaza poleni sana kwa matatizo hao ila chamsingi nikukaa nae kiumakini mimi namini ataongea tu ika msimpige mana hata mkimpiga haitasaindia hata kidogo jalibuni kumsii kwa utalatibu mimi nihao tu kwa ushauli wangu ndo huo
sikuamini nilipo.abiwa kwaba mshikaji wangu kafaliki hospitall bugado banda ya kufanyiwa opolesheni ya moyo amekaa zaindi ya siku tatu anapumua nabanda yahapo nda ikashindikana hatimae mauti yakamkuta mungu ilaze loho yamalehemu mahali peponi ameni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.