Recent content by MangaPwani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Hy ndie rais tumtakaye
  2. M

    JamiiForums Tanzania Njia Panda; Kataa ya Jecha CCM out SMZ, Kubali ya Jecha Uchaguzi Rais JMT Unakosa Uhalali Unarudiwa

    Mwenyekiti wa ZEC Ameokoa amani iliyokuwa inapotea kidogo kidogo Zanzibar kwa uwamuz wao ZEC wa kufuta matokeo, kwa hali iliyokuwa km angetangazwa CUF or CCM ndio mshindi amani isingekuwepo lkn tokea patangazwe uchaguzi kufutwa Zanzibar imerud ktk hali yake ya amani na wazanzibar wote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Mahela ni CHADEMA KOJOOOOOOOOOO
  4. M

    JamiiForums Tanzania Seif ana haki ya kushtakiwa

    Zec na nec ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo so matokeo yanayotolewa na mtu binafsi ni fake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Seif ana haki ya kushtakiwa

    Kazi ya nan hy ZEC Or Seif
  6. M

    JamiiForums Tanzania Seif ana haki ya kushtakiwa

    Makamba hajatangaza kura Seif katangaza hd Kura zote
  7. M

    JamiiForums Tanzania Seif ana haki ya kushtakiwa

    Kitendo alichokifanya mgombea urais Zanzibar kwa ticket ya CUF kutangaza kura za Urais alizoletewa na mawakala wake kisheria ana haki ya kushtakiwa kwa sababu ile ni kazi ya ZEC na ZEC ndio wenye mamlaka ya kufanya vile na si mtu mwingine yeyote, km jana tulivyomsikia Jaji Lubuva aliposema...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ahmed amekuwa maarufu ghafla duniani Obama na mmiliki wa facebook wamemualika

    Hao wote wametengezwa na mmarekani kufanya hv muislam wa kwel hawez kufanya hv, mfn mzur tizama Syria wa ami walikuwa wanaungwa mkono na marekani leo hii hao hao waasi ndio wamekuwa Islamic State, Ukitizama Boko garam silaha wanapata wapi akili itanue umebase ktk udini na umeweke dhana kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ahmed amekuwa maarufu ghafla duniani Obama na mmiliki wa facebook wamemualika

    Co kwel waarabu wote co washenz hy ni dhana iliyojengwa na watu wa magharibi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ahmed amekuwa maarufu ghafla duniani Obama na mmiliki wa facebook wamemualika

    Kwq kuwa muislam amegundua ndio mana imekuwa hv
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Serikali haina budi kutumia nguvu yao ktk kuipitisha MAHAKAMA YA KADHI bila ya kusikiliza matakwa ya wakristo kwa kuwa kila Mtanzania ana haki ya kuikataa katiba ama kuikubali kwa hy wakristo mnaoungana na mapadri wenu tuonane ktk kupiga kura na serikali tendeni haki hapo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza fundi mzuri wa iphone6

    Mcall hy 0717 956 685 anaitwa Hillary yupo Mavuno House posta mpya ukifika kwa sanamu la askar jingo la pinky
Back
Top Bottom