beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,762
- 2,736
Hiyo inaitwa physical damage. Warranty center watacharge extra lakini wako more efficient na wameaminiwa na manufacturer kuliko hao mafundi makanjanja wa mtaani.
Mkuu wewe ndio umemshauri vizuri. Nashangaa anataka kwenda mitaani badala ya kupeleka service center ambako pamoja na kwamba atalipia lakini at least ana uhakika itarekebishwa vizuri sasa sijui kwa nini hataki kwenda huko. MangaPwani usipeleke hiyo simu mitaani, labda kama na wewe uliinunua mitaani.
Last edited by a moderator: