Recent content by mang'ang'a

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vituo vya habari vyapigwa rungu na TCRA kwa kurusha maudhui katika muda ambao watoto hawapaswi kuangalia ama kusikiliza

    Mbona hotuba Q Mbona hotuba za JPM zina mambo mengi yasio faa kusemwa hadharani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Kule Twitter UN's Tunis kina gani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Itapendeza Christian Amanpour akifanya mahojiano na Rais Magufuli

    Amuhoji kwa lugha gani? Uliona maswali aliyotupiwa Uganda ? Museveni ndio aliokoa jahazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Rais John Pombe Magufuli mapema leo ameongea kwa njia ya simu na mwenzake wa Afrika Kusini Ndugu Ramaphosa.

    Atajibiwa kama ilivyokuwa na waziri mkuu Wa Canada, mahakama itatenda haki, kwanza huyo raising mwenyewe ana mashtaka yanamkabili, akiingilia hili hataachwa ,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Niko tayari.kuchangia kwa uwezi wangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

    Kajiunga 31July 2019
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

    We ni muathirika na ni askari, pambana na hali yako, sisi RAIA tunateswa askari Wa usalama barabarani hats kwa makosa yanayostahili onto tu ETI usitufundishe kazi, yaani taa ya brake imeungua nikiwa naendesha unaniandikia fine 30,000??? Tunakosaga watetezi na we pambana na hali yako
  8. M

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    2029 tumefika?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mh Lema adokeza kuhusu Kampeni ya kususia makampuni ya mawasiliano yanayoumiza wateja wao

    Mi nimevunja yangu, we wangoja nini!?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa stars kufungwa na Kenya baadhi ya watanzania wameshangilia kuliko tulipofungwa na Senegal?

    Msuva alisema wanamuwakilisha Magu na Serikali sio Nchi sasa si tufanyeje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

    Inawezekana umejibu bila kusoma, huna kichwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbadala ya Vifungashio ukienda kununua Mchele

    Akijikwaa atafurahi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la vyama vya siasa dhidi ya Serikali ni batili

    Tunakushukuru wakili, mambo yote ambayo ni kinyume na katiba yanayofanywa na jpm.umewahi yatolea andiko kama hili?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Rais Magufuli akutana na kuzungumza na Askofu Josephat Gwajima

    Yaani kukutana na Gwajima kwake ni muhimu kuliko viingozi Wa vyama vya upinzani!!! Akili ndogo sana
Back
Top Bottom