Uzushi wa aina hii ni jambo baya, lakini kwa mazingira ya kesi hii huu uzushi unaweza kuwa ni maono au ndoto za watu wenye nia njema, hivyo tahadhari za kumpatia ulinzi huyo binti zichukuliwe.
Ndio.
Sukari ina madhara makubwa kuliko hata Bangi na cocaine. Kwa kuwa haiwezi kupigwa marufuku kwa sasa angalau serikali iongeze Kodi ili bei iwe juu zaidi. hii itapunguza matumizi yaliyokidhiri hasa kwenye vinywaji.
Prof.Janabi na RC hawajakosea hata kidogo, ila wako mbele ya wakati.
Sukari...
Hii ni sawa na kumpiga teke chura, unamwongezea kasi.
Huko jela ndio kumejaa roho zinazohitaji wokovu. Bila shaka yoyote Mchungaji atapokea hiyo fursa adhimu kwa mikono miwili.
Wenyewe wanasema, "fate" ikikutupia ndimu, ipokee kwa mikono mowili, ikamua na kutengeneza Juisi nzuri ya ndimu a.k.a...
Tutaingia gharama za bure tu. Muarobaini ni Tume Huru ya Uchaguzi (Independent Electoral Commission) inayojitegemea, yenye watumishi wake yenyewe na matokeo ya wagombea wote yapingwe mahakakamani.
Waangalizi wa Uchaguzi wa ndani na nje wawepo tangia kwenye kampeni mpaka kutangazwa kwa kura...
Tungewapeleka magwiji wa sheria kama Mh. Chenge, Prof. Kabudi, Prof.Shivji na Dr.Nshalla angalau tungefurukuta. Vinginevyo tungewaajiri wanasheria maarufu wa huko huko.
Mtuhumiwa yeyote anayefikishwa Mahakamani ana haki ya kutetewa na wakili kama ana uwezo na kutetea watuhumiwa ndio kazi na jukumu la mawakili. Hata watuhumiwa wa mauaji serikali inawapatia mawakili wa kuwatetea wale wasio na uwezo.
Sasa TL akihamia ACT kuna shida gani? Si bado yuko chama cha upinzani ? Mbona wenzake wamehamia chama tawala hapakuwa na shida yoyote. Kwenye Siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
Kama kuna sheria ya namna hiyo, inabidi ifutwe haraka sana pamoja na ile inayowapa kinga kwa makosa wanayofanya kwa makusudi. Wapewe au wajengewe nyumba wakiwa hai, lakini hizo nyumba zibaki kuwa mali ya serikali wakifariki zirudi serikalini. Maraisi wetu na familia zao hawastahili kupata...
Nimemsikia mama akiwasisitizia viongozi kuwa Urais ni taasisi, sasa iweje kila siku tunaambia kuwa katoa mabillioni kufanya hiki na kile, badala ya kutuambia kuwa serikali imetoa hela kutekeleza miradi hii?
Wote tunafahamu kuwa Rais hana hela na hajawahi kuwa na hela tofauti na HH wa Zambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.