Recent content by manengelo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    hali ya maisha ni ngumu, bei ni kubwa masokoni ,tozo imekuja kukita juu ya kidonda kibichi cha ugumu wa maisha.. Ewe Allaah tunusuru na dhuluma hii.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii nchi inateketea, Viongozi wa dini saidieni

    Viongozi wa dini ni wanufaika wa tozo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simbachawene kashindwa kulea na kumuadabisha mwanawe anaomba dola imsaidie?

    Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tozo mwiba mchungu

    Wanatoza tozo walipane mabilioni ya fedha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi wa waziri wa fedha na uchumi

    Ndugu mheshimiwa waziri Mwigulu Lameck Nchemba, ninafurahi kukuandikia barua hii fupi yenye swali moja ndani yake. Muheshimiwa waziri Tozo hii katika miamala ya kibenki ni ya nini tena?. Ukipata ujumbe naomba unijibu tafadhali.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yaja na "Samia Schorlaship" kuinua masomo ya sayansi

    Eti samia scholarship, eti kunufaisha masomo ya sayansi.....Upuuzi tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunavyojidanganya kuhusu mapinduzi huko Sri Lanka

    Wananchi ni kama toilet paper, idara za siri zikitaka jambo huwatumia wananchi bila wao kujua kama wanatumika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Makamba imejaa propaganda tu

    They killed our strong man...they may go to hell.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    She has become a loughing stock in the statehouse kila kitu mama mama, why not sister ? Hivi anadhani raia wote anawazidi umri? Propaganda za kijinga sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya Nape? Mbona ana dharau kiasi hiki?

    State criminal syndicate iliyomuua magufuli ikasingizia tatizo la moyo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kinana asema ziara ya Rais Samia Marekani ni muhimu kwa uchumi

    Genge la waovu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fomu za kugombea uongozi ndani ya CCM Zadoda, wengi wasubiria kuwa viongozi wa Umoja Party

    Muoga hakuthubutu kusema wakati magufuli yuko HAI, anasubiri mtu avikwe sanda ndo aseme.....uoga uoga na unafiki
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana ajenda gani ya kimkakati?

    Hawezi kuwa na mkakati wowote
Back
Top Bottom