Rais Samia ana ajenda gani ya kimkakati?

Watu mnaanza kulalamika sana
vumilieni

Mpango uliopo mafuta ya petrol yafike 5000 kwa Lita moja

Sasa kama mtaanza kulalamika mapema namna hii mtaikatisha tamaa serikali yetu tukufu ishindwe kuendelea na mpango wake maridhawa.

Nawaomba wananchi muwe wavumilivu na muone mbali kama tunavyoona sisi.
Tutanunua hata kama ni 10000 kwa lita
 
Rais anasema Miradi mingi tulikua tunaiendesha kwa mikopo.

Ila hajatuambia kwanini inasuasua.

Je waliotukopesha wamesitisha mikopo yao??

Hatuwalipi mikopo yao kwa wakati??

Kabla ya kupewa mikopo si tulikua na plan??

Waliotukopesha si waliangalia plan wakaona tunakopesheka??

Je Kodi Rail way Levy kwenye imports hapa nchini kazi yake ni nini??
 
Jamaa aliathiri sana akili za wengi..mikwara mingi huku anabunya kimyakimya hakuna kuhoji! Laiti watu wangejua wasinge bwabwaja..watu watulie mambo yatakaa sawa sio kwamba watu wamelala wanafurahia hizi kelele..
 
Miradi ya kimkakati kulingana na ilani ya ccm.

SGR
Jakaya Kikwete
Upembuzi yakinifu,fedha za mradi (za mkopo na za ndani ikiwemo utungaji wa sheria na tozo ya reli) usanifu na michoro.

John Pombe Magufuli.
Kuboresha,Kuanza ujenzi kipande cha Dar-Moro, kusaini mkataba wa ujenzi kipande cha Moro - Dodoma.

Samia Suluh Hassan
Kukamilisha kipande cha Dar-Moro,Moro-Dodoma. Kusaini na kulipa fedha za ujenzi Awamu ya tatu na nne ya ujenzi Dodoma- Singida
 
Tangu aingie madarakani sijaona aje na mradi wowote wenye mashiko.

Hii ni tofauti kabisa na mtangulizi wake, John Magufuli, aliyeijenga nchi kwa miundo mbinu ya hadhi ya juu pamoja na mega-projects kama Bwawa kubwa la kufua umeme, ujenzi wa reli ya kisasa, kufufua shirika la ndege na mengine mengi.

Samia huyu toka aingie yeye ni mwendo wa Corona tu. Gia yake ya kwanza alipoingia madarakani ni CHANJO.

Gia ya pili ni TOZO na kupandisha gharama za bidhaa kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.

Sijaona kama ana jambo jipya lenye tija alilolifanya mpaka sasa.

Nasikia anafungulia DEMOKRASIA. Watu wawe huru KUBWATA kila mahali bila kukamatwa na GESHI RA PORISHI.

Leo hii mafuta yamepanda kwa zaidi ya 1000 Tshs ndani ya miezi miwili tu! Hii ni kitu gani? Ukiuliza unajibiwa kirahisi sana "Vita ya Ukraine"!

Hata alizeti tunayoilima singida nayo imekuwa haba kwa sababu ya vita ya Putin na Zelensky.

Kila kitu bei juu, mafuta juu, chakula juu, miamala ya fedha juu, vifurushi juu, kila kitu juu.

Tunahitaji Rais anayeweza kuidhibiti nchi na kuiongoza. Hii kujitepesha kizenji haiweza kutusaidia.
Hawezi kuwa na mkakati wowote
 
Hataki ule uongo wa Tanzania ya viwanda, kisha ndani ya muda mfupi eti tuna viwanda 8,000+, lakini havionekani na ajira zikazidi kupungua! Hayo mambo ya ujenzi kwa fedha zetu za ndani huku anakopa kwa kasi ya kutisha, inaonekana huyu mama mambo hayo ya kishamba hataki.
 
Sukuma gang wanakomeshwa

Naona sasa hivi umenyooka, vile vijimatusi vyako vya kishamba umeviweka pembeni. Hii ndio nidhamu ninayotarajia toka kwako. Tazama hii id vizuri, wenzako hawaitaki kabisa maana ni ya moto.
 
Tangu aingie madarakani sijaona aje na mradi wowote wenye mashiko.

Hii ni tofauti kabisa na mtangulizi wake, John Magufuli, aliyeijenga nchi kwa miundo mbinu ya hadhi ya juu pamoja na mega-projects kama Bwawa kubwa la kufua umeme, ujenzi wa reli ya kisasa, kufufua shirika la ndege na mengine mengi.

Samia huyu toka aingie yeye ni mwendo wa Corona tu. Gia yake ya kwanza alipoingia madarakani ni CHANJO.

Gia ya pili ni TOZO na kupandisha gharama za bidhaa kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.

Sijaona kama ana jambo jipya lenye tija alilolifanya mpaka sasa.

Nasikia anafungulia DEMOKRASIA. Watu wawe huru KUBWATA kila mahali bila kukamatwa na GESHI RA PORISHI.

Leo hii mafuta yamepanda kwa zaidi ya 1000 Tshs ndani ya miezi miwili tu! Hii ni kitu gani? Ukiuliza unajibiwa kirahisi sana "Vita ya Ukraine"!

Hata alizeti tunayoilima singida nayo imekuwa haba kwa sababu ya vita ya Putin na Zelensky.

Kila kitu bei juu, mafuta juu, chakula juu, miamala ya fedha juu, vifurushi juu, kila kitu juu.

Tunahitaji Rais anayeweza kuidhibiti nchi na kuiongoza. Hii kujitepesha kizenji haiweza kutusaidia.
Zipo nyingi Sana miongoni mwazo ni

1.Kufika 2025 awe amemtua mama ndoo.

2.By 2025 kila kata ya kimkakati iwe na kituo cha afya.

3.By 2025 kila kijiji kifikiwe na barabara inayopitika kama ilivyofanyika kwenye Rea ndio maana kaweka pesa maradufu huko Tarura.

4.Mambk yote yaliyotajwa kwenye Vision 2025-2030 ya Nchi awe ameyatekeleza kwa 75%

5.Mwisho kujenga vibrant private sector ambapo Vijana wa Tanzania wapende kujiajir sio kuajiriwa..

Hayo yote yanatekelezwa kwa namna nyingi na Bora zaidi ndio ykwa mda mfupi ameshawa outshine watangulizi wake..

Kupanda Kwa bei ndio vision?

Tatizo lenu mna upimbi wa kufikiria,kama Tanzania Bei zimepanda na huku Turkey watasemaje? Kwamba Erdogan kashindwa kudhibiti Nchi?

Hii Nchi watu mumedekezwa Sana,mimi ningekuwa Rais mbona Kodi mungelipa, yaani mnadai haki na wajibu hamfanyi?👇

Screenshot_20220505-182459.png
 
Ukitaka usurvive kwenye zama za demokrasia usijidai una maono/mikakati. We tawala, kopa, iba nk kwa mazoea, muda wako ukiisha mpishe mwingine.
 
Tangu aingie madarakani sijaona aje na mradi wowote wenye mashiko.

Hii ni tofauti kabisa na mtangulizi wake, John Magufuli, aliyeijenga nchi kwa miundo mbinu ya hadhi ya juu pamoja na mega-projects kama Bwawa kubwa la kufua umeme, ujenzi wa reli ya kisasa, kufufua shirika la ndege na mengine mengi.

Samia huyu toka aingie yeye ni mwendo wa Corona tu. Gia yake ya kwanza alipoingia madarakani ni CHANJO.

Gia ya pili ni TOZO na kupandisha gharama za bidhaa kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.

Sijaona kama ana jambo jipya lenye tija alilolifanya mpaka sasa.

Nasikia anafungulia DEMOKRASIA. Watu wawe huru KUBWATA kila mahali bila kukamatwa na GESHI RA PORISHI.

Leo hii mafuta yamepanda kwa zaidi ya 1000 Tshs ndani ya miezi miwili tu! Hii ni kitu gani? Ukiuliza unajibiwa kirahisi sana "Vita ya Ukraine"!

Hata alizeti tunayoilima singida nayo imekuwa haba kwa sababu ya vita ya Putin na Zelensky.

Kila kitu bei juu, mafuta juu, chakula juu, miamala ya fedha juu, vifurushi juu, kila kitu juu.

Tunahitaji Rais anayeweza kuidhibiti nchi na kuiongoza. Hii kujitepesha kizenji haiweza kutusaidia.
Hapa duniani sijawahi kuona Rais kaenda" kubembea" Dubai

Hee! wadhungu wanatushangaa aisee
 
Back
Top Bottom