Recent content by Manelezu

  1. M

    Bandari: Mbarikiwa amjibu Kikwete, asema wanakemea uovu

    Iko hivi wanasiasa wanataka viongozi wa dini waje kwenye majukwaa yao kusifia utendaji wao, na mambo ya namna hiyo ila sio kukosoa? Wakikosolewa then dini na siasa? Issue ya bandari sio jambo dogo hata kidogo.
  2. M

    Makamba na genge lake wamekurupuka kwenye bei ya mafuta, na benki kuu nao wapo kwenye usingizi wa pono

    Hawa watu ipo siku yao Mungu atawakumbusha haya, they don't care kuhusu maisha ya raia. Wao ni kuvuna utajiri tu. Ila aliye juu anaona.
  3. M

    Putin kafumua mshono tena

    Ila we jamaa bana, hii sio Putin,
  4. M

    Rais Samia kuruhusu watu wajadili mkataba wa bandari tayari ni legacy

    Kuruhusu? Au sijakuelewa vizuri? Ameruhusu nini ambacho kimekataliwa? Na amemruhusu nani? Kwa amri ipi? No wonder bado tunajengewa matundu ya vyoo hadi leo.
  5. M

    Hongera DP world kwa kutua Tanzania

    Hili uliloongea hapa ndio kitu mtu mweusi hataki kufanya, sisi tuishi extravagant hatutaki kujinyima ili tufanye maendeleo tutegemee wawekezaji wafanye, upo sahihi kabisa inawezekana kwa ku cut unnecessary spending. Hamna kitu hatuwezi fanya including usimamizi wa hiyo bandari. kikubwa hapa...
  6. M

    Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

    Ujinga ndugu yangu na labda ukosefu wa elimu, probably kwao wanaona sawa DP World kutunyonya sababu Dubai ni nchi ina waarabu ambao ni waislam, it's okay kwao. Its their brothers and sisters 😂😂😂😂😂 Wanasahau kwamba mapato ya bandari na bandari yanafaidisha watz wote bila kuangalia dini ya mtu na...
  7. M

    Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari

    Mwarabu ni mjomba wako? Eventually ataondolewa tu. Just a matter of time.
  8. M

    Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World

    Nimecheksa sana, ingawa sio jibu nililokuwa nategemea. I truly wish to understand, angalia Mkapa hayupo, JPM na yeye hayupo, na kila kiongozi aliyepo na ajaye ataondoka. Mtu ukijua hili kwanini usihakikishe vizazi vijavyo vinakuta mambo bora zaidi? Sisi ni madudu kila siku jamani?
  9. M

    Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World

    Kuna swali huwa najiulize sana I wish ningepata majibu, kwanini watu weusi huwa hatujipendi? Hatuangalii vizazi vyetu vijavyo? tunaishi kama sisi ndio watu wa mwisho kuwepo?
  10. M

    Rostam Aziz awaomba radhi majaji, asema ULIMI ULITELEZA

    Hawa Caucasians wanatamba sana. Wanafanya watakalo nchi hii.
  11. M

    Rais Samia afungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za SADC, leo Julai 3, 2023

    Kuna watu vichwani hamnazo kabisa, yani unaona mambo ya bandari ni sawa? mimi na wewe tutapita, vipi huu utumwa tunaoacha kwa vizazi vinavyokuja?
  12. M

    Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

    Wataelewa tu siku moja, maisha yana mwisho.
  13. M

    Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

    Inashangaza sana kama tunarudi kwenye mambo ya ufisadi. Watu wawe na hofu na Mungu. Ipo siku pumzi itawatoka. Wasinyanyese watu wasiokuwa na nguvu.
  14. M

    Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Endelea kujidang'anya ni mtanzania mwenzako. Just bcz amezaliwa hapa.
  15. M

    Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Hamna watu hatujielewi kama watu weusi, upo sahahi, watakuja mazwazwa watakwambia na yeye ni Mtanzania analipenda sana hili taifa. Hawa jamaa wamepora sana mali za taifa hili. Infact utajiri walio nao umetokana na wizi waliofanya toka enzi hizo.
Back
Top Bottom