Recent content by mandojo

  1. mandojo

    king`ori teachers college tukutane hapa

    wadau wale tuliochaguliwa chuo cha ualimu kingori arusha tukutane hapa kufahamiana zaid`. contacts,,0655179201
  2. mandojo

    Diploma in primary education

    hey guys, jaman me naomba ufafanuzi kwa anayefaham hili,.•• inasemekana kuwa diploma in primary now ni BASIC TECHNICIAN certificate!" na inasomwa miaka 2 tuu na xio mitatu"! mweny kuelew zaid atujuze
  3. mandojo

    Lini majina ya walioomba awamu ya pili yatatoka

    naomba kujua majina ya walioomba awamu yapili yata toka
  4. mandojo

    Msaada wa haraka wapendwa

    vyuo vitatu, nenda kwenye nacte.go.tz ufungue profile . then endelea na aplication
  5. mandojo

    NACTE, tangazo lenu limekuja kwa kuchelewa

    mkuu hata mm niliskia nlipoenda chuo flan private mkuu was chuo akanambia vivyohvyo. na Leo pia nmeskia japo nacte hawajasema lolote, I think ndo maana kwenye tangazo lao LA tar 29july wamesema wanasubir mwongozo wa srkali!!""!
  6. mandojo

    Msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Ualimu Arusha

    nitafute kwenye 0655179201
  7. mandojo

    Msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Ualimu Arusha

    nitafute kwenye 0655179201
  8. mandojo

    Msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Ualimu Arusha

    OK mkuu ni dp au certificate?? kila awam bei gan joh?
  9. mandojo

    Msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Ualimu Arusha

    asante mkuu, na je kwamfano nikiwa nasoma day, ada ntalipa awamu ngapi?? na ntakuw natoa sh ngap kila awamu !!"
  10. mandojo

    Msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Ualimu Arusha

    Habari wadau, Nahitaji msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Ualimu Arusha. Nahitaji ada kwa day&boarding pliz!!
  11. mandojo

    Nimeandikiwa "add qualifications" baada ya kuapply Diploma in primary education

    thanks for your explanations now nmeelew. na VP kuhusu walivyonandikia ,"add qualifications"?? walikuw wana maanisha nn?
  12. mandojo

    Nimeandikiwa "add qualifications" baada ya kuapply Diploma in primary education

    Wadau vipi, Mimi nina division 3 ya 24, niliapply diploma in primary education, matokeo yake wakaniandikia "add qualifications" wakati nilishaziadd mwanzo!!!. Naomba anayeelewa hili anisaidie tafadhali. Kingine pia kama sijachaguliwa naruhusiwa kuomba tena?? Na je nitalipia kama mwanzo...
  13. mandojo

    NACTE kwa selection za mwaka huu wamelipua, full kubabaisha

    kwel kAbsa mm nna dv3 ya24 dp primary lakn nmeachw
Back
Top Bottom