Recent content by Mandla Jr.

  1. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Kwa mtazamo wa haraka haraka hapa uwanjani, mashabiki wa Simba ni wengi sana kuliko wa Yanga,,,,, Sijui inamaanisha nini......
  2. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Siku ya Serikali?? Umetoa kali sana mkuu...
  3. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Mpira utaanza saa kumi na moja jioni.
  4. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Chirwa na Okwi nani Kikongwe mkuu??
  5. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Simba anashinda goli ngapi??
  6. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Jumatamu=Jumatano.
  7. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Yanga bingwa kivipi?
  8. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Mechi ya ngao ya Jamii, itachezwa jumatano tarehe 23/08/2017 na hii ni kuonyesha ufunguzi mpya wa Ligi kuu ya Vodacom ambayo itaanza mwishoni mwa wiki. Kila mtu anaipenda timu flani kati ya Simba SC na Yanga SC, na siku hiyo ni lazima mshindi apatikane hata kwa penati. Nani kuibuka mbabe...
  9. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Bunda, Ester Bulaya akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mkutano nje ya Jimbo lake

    Habari wana jamvi, Binafsi, sipendi vitendo vinavyofanywa na Wabunge wa CHADEMA, kutaka kuongea bila ya kufuata utaratibu uliowekwa kwa sasahivi. Bahati nzuri kila Mbunge ana Jimbo lake, kwanini msikae na wananchi waliowapa dhamani na kuwasaidia kero zao? Kuliko kupoteza muda mwingi kwenye tv...
  10. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

    Hivi huyu Wema ana nini?? Mi nilidhani ni Gigy Money tu, ndio anadondosha watu... Mwenyekiti ndani ya msiba na mwezi mtukufu naye hoi kwa Wema.. Halafu kidhungu kibovu.
  11. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Hotel gani Arusha ina swimming pool nataka niende na mama yenuu kujivinjari

    Mkiibiwa mnabeba mapanga!!!
  12. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    CCM ni kimbilio la watanzania wengi!! Na wengine pia karibuni. Mandla.
  13. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Ha ha ha, Njoo Mbabe wa vita uwanjooshe tena....
  14. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Wana-Kilimanjaro/Moshi fanyeni maombi walau mvua inyeshe!!!

    Wanajamvi.... Binafsi nimekuwa na tabia ya kupenda kutembelea Mkoa wa Kilimanjaro hususani wilaya ya Moshi mjini. Na kwa wakati huu niko Moshi, japo mimi si mwenyeji wa Mkoa huu ila huwa napenda kuja bila kujali ni mwezi gani au wakati gani. Ki ukweli hali ya Mji wa Moshi si nzuri kabisa, joto...
  15. Mandla Jr.

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka kama Wapambe wa Kim Jong-Un,Ne Win,Idd Amin na Enver Hoxa

    Kwa elimu yako na uwezo wako wa kufikiri, ni lazima uone 'ujinga wake' kama hoja zenye nguvu. Mandla.
Back
Top Bottom