Recent content by mandingo 94

  1. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuanza ujenzi nikiwa hivi?

    Nataka nikutafute unipe elemu hiyo
  2. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara ya usambazaji bidhaa

    Njoo kahama nikuuzie mafuta ya alizet au karanga utakuja kunishukuru
  3. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu bei ya mafuta ya alizeti

    Lita 20 85,000 nakumua mwenyewe
  4. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Duuh ngoja nijaribu tu
  5. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Pamoja sana
  6. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Nimetafuna ndizi 4 sas bado Hali tete
  7. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Nimeingiza vidole nimetapika Hadi nimechoka
  8. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Mh
  9. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Asate Sana ngoja nianze na ndizi
  10. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Samaki
  11. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Ngoja nifanye kazi
  12. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa samaki tatizo

    Hàbar marafiki nipatwa na tatizo hapa Lina nikera Sana Yani kwenye Kana kamwimba kamenasa hakaumi Ila kananikera tu naombeni msaada jinsi ya kakatoa maana nishaingiza vidore ili nitapaki bado akatoke naombeni njia jinsi ya kukatoa
  13. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kusaga na Kukoboa: Uzoefu wangu wa miezi 15

    Kumbe milion8 inatosha kabisa kuanzisha hii biashara kwa dar
  14. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa biashara naombeni somo hapa

    Nimepita mitaa mingi ya jf hila mtaa nimeupenda ngoja nikae nichangie upeo wangu kuusu biashara na mahesabu yake katika biashara kwanza usifanye kwa kuiga kwa mtu aliyofanikia Bali fanya kwa mapenzi yako yote utakuwa tu kibiasha unazungumzia faida ya %30 ninyingi Sana ngoja nikupe mfano wa...
  15. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Nataka nimalize mwaka na firex

    Pamoja Sana kiongozi
Back
Top Bottom