Recent content by Mandinga

  1. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua gari, ipi itafaa kati ya Kluger, Qashqai, Dualis ama Harrier Old Model

    Chukua huu ushauri... Achana na dualis, kama kigezo ni kupita popote chukua subaru
  2. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua gari, ipi itafaa kati ya Kluger, Qashqai, Dualis ama Harrier Old Model

    Na wewe upepo wa dualis umekuingia? Huo ni upepo tu kama ilivyokuwa kwa crown! Mimi namshauri anunue toyota kwa kigezo tu cha gharama za matengenezo zipo chini kuliko hizo nyingine! Hata dualis zimejaa siku hizi.
  3. Mandinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya maneno mwanaume hutakiwi kuyatumia

    Mwenzenu
  4. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Corona: Fumigation ni Bonge la Fursa, njoo tupige kazi

    Huku sio twitter
  5. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu

    Endelea nao basi
  6. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    Waliniandikia Antibiotics ambazo nikitunia kwa siku 5 na dawa za maumivu mkuu
  7. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    😂😂😂😂 mkuu unanifanyia counselling... Sawa nimekubali
  8. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    Sure Mkuu, nimechukua 2 pack kama ulivyonishaur! Najiona nimechelewa pia kujua hizi dawa ila mungu atanisaidia tu..
  9. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    Elfu 19,250 bariki phamacy
  10. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    Mkuu nimezipata pale bariki bei yake ni 19,250/=
  11. Mandinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioamua kuoa wapendeni wake zenu, mnatupa kazi ngumu ya kushauri

    Case Closed
  12. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    Nipo tayari ila tatizo nipo mbali na kanda ya ziwa
  13. Mandinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    Sure mkuu... Na mm ndio nahangaika hivyo
Back
Top Bottom