Naomba msaada wenu

tidier Ar

Member
Feb 14, 2020
32
95
Kama kuna mtu amewahi kusikia kuhusu hiki kitu na hawa ni matapeli au La? je wanatapeli kwa mtindo upi?

My dear according to United State Banking law after the expiration of 9 (nine ) years, if nobody apply for the claim the funds will confiscated as state treasury, that is why I am seeking for your support to stand as next of kin/ beneficiary to claim these funds so that we move it into useful investments. I promise you with 100% assurance that there will be no problem for us after the success of this deal, because I will delete the inheritance claim database which will be blank, once I do this there will be no problem for us. The bank manager will ask you series of questions to confirm if you're truly related to late Mohammed Yusuf of which I have all details about Mohammed Yusuf to enable us succeed. Don't worry we will succeed at any stage because I am always with you. Just follow all my instructions gradually. This deal require you dedication, commitment and you have to assure me that you will follow all my instructions strictly

Naomba kujuzwa kuhusu hili swala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za ajabu

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,264
2,000
kama kuna mtu amewahi kusikia kuhusu hiki kitu na hawa ni matapeli au La? je wanatapeli kwa mtindo upi?

My dear according to United State Banking law after the expiration of 9 (nine ) years, if nobody apply for the claim the funds will confiscated as state treasury, that is why I am seeking for your support to stand as next of kin/ beneficiary to claim these funds so that we move it into useful investments. I promise you with 100% assurance that there will be no problem for us after the success of this deal, because I will delete the inheritance claim database which will be blank, once I do this there will be no problem for us. The bank manager will ask you series of questions to confirm if you're truly related to late Mohammed Yusuf of which I have all details about Mohammed Yusuf to enable us succeed. Don't worry we will succeed at any stage because I am always with you. Just follow all my instructions gradually. This deal require you dedication, commitment and you have to assure me that you will follow all my instructions strictly
naomba kujuzwa kuhusu hili swala
Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kimbia kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PMWAKA

Senior Member
Aug 29, 2019
177
250
broo unawajua

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanigeria hao matapeli, wanakuliza sasa hivi, watakwambia uwatumie USD kadhaa za nini nini, then umeliwa, yani kwa akili ya kawaida tu ya kuzaliwa, mambo ya US utafutwe wewe uwe next of kin?, kwamba hela isipokua claimed ndo unaenda kichwa kichwa bila any convincing documents kuwa wewe ni muhusika il wakupatie? Kwa nini huyo aliekuemail asifanye yeye akapata mahela peke ake akutafute wewe wa sitimbi, au yeye hana ndugu, rafiki , jirani au mpenzi wake hata?? OK fine then amekujuaje wewe hadi akakuemail issue sensitive za pesa nyingi na alijuaje kama utafaa.

Note: Kabla ya kufanya maamuzi ya jambo lolote, hakikisha unajiuliza maswali yote magumu na muhimu, ukishindwa.kujijibu basi jua ni scam, ukijijibu tafuta alternative answer the Fanya.

yeah ndo maana nilivo kosa jibu nikaleta humu ili kila mmoja ajue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nzuguni one

JF-Expert Member
Dec 23, 2019
1,107
1,500
Kama kuna mtu amewahi kusikia kuhusu hiki kitu na hawa ni matapeli au La? je wanatapeli kwa mtindo upi?

My dear according to United State Banking law after the expiration of 9 (nine ) years, if nobody apply for the claim the funds will confiscated as state treasury, that is why I am seeking for your support to stand as next of kin/ beneficiary to claim these funds so that we move it into useful investments. I promise you with 100% assurance that there will be no problem for us after the success of this deal, because I will delete the inheritance claim database which will be blank, once I do this there will be no problem for us. The bank manager will ask you series of questions to confirm if you're truly related to late Mohammed Yusuf of which I have all details about Mohammed Yusuf to enable us succeed. Don't worry we will succeed at any stage because I am always with you. Just follow all my instructions gradually. This deal require you dedication, commitment and you have to assure me that you will follow all my instructions strictly

Naomba kujuzwa kuhusu hili swala

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao wezi hao bro.
 
Eswa

Member
Dec 14, 2012
89
125
Kama asipokuomba pesa za kukamilisha huo mchakato basi atakuomba Account Number akidai bank wanahitaji kutuma huo mpunga 😀😀😀😀. Hapo ndo utajua km ni tapeli au ana mahaba ya kweli.

#Usisahau kutupa mrejesho.
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
18,292
2,000
Na bado watu wanatapeliwa mpaka sasa
West Africa wamechokwa na dunia kwa utapeli na huu ni wa kizamani sana
Mbinu mpya kwa sasa ambayo wameishawaibia watu duniani ni Mask na sanitizers
UK peke yake wametapeliwa zaidi ya £1.86m
Hawa jamaa ni balaa kwenye fursa
Achana nao Mkuu ni wajinga wenye tamaa ndio huingia mkenge
Nimeishatumiwa mpaka barua, mail na hata msg lakini huwa nawachora tu
CIA wana web yao ambayo unaweza kupata majina ya matapeli wote ukiandika jina tu ila nimeisahau ni mda sasa sijafuatilia Haya

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom