Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ardhi ya Zanzibar itamilikiwa tu na mzanzibar. Ushauri wako Ni nzuri Ila upeleke kwa raisi wa Zanzibar ili aufanyie kazi. Raisi wa jamhuri Ni kumtesa tu mama wa watu.
Serikali inajua Kama hakuwa msaliti ndo maana amewekwa kwenye orodha ya watakao lipwa. Usifuate mkumbo ndugu yangu. Mambo mengine tumia akili Kama Ni msaliti amemsaliti Nani. Duh! Watanzania kazi tunayo.
Binadamu tumeumbwa unique tofauti na wanyama wengine. Tutumie hata common sense Basi. Mzanzibar anaweza kuwa raisi wa Tanzania ambaye anaongoza , wizara zote, mikoa na wilaya. Inakuaje ashindwe kuteuliwa nafasi ya dc au rc? Wakati cheo Hiko Ni kidogo zaidi juu ya nafasi ya uraisi.
Nikweli but Mimi ningelikua raisi hao majaji wa marehemu ningaliwaondosha hivo hivo kwani mzizi wa muhimili wa raisi umekwenda mbali kukiko mihimili mengine. "Magufuli's voice" Hapo ndo tungeelewana.
Kwa hakika hakuna binadamu anaependa kukosolewa ama kuoneshwa mapungufu yake.Siasa ni field kama field nyingine.
Kangi jua kwamba CAG yupo pamoja na wananchi walio wengi. Kwa kukujulisheni nyinyi wabunge wetu ni kwamba CAG anakubalika na wananchi wote sio tu waliokwenda shule hata wasiojua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.