Hakuna lisilo wezekana kwa Mungu. Kubwa ni kuamini tu, Neno lake linasema " ...nitakurudishia marafufu vilivyo ibiwa, vilivyo liwa na nzige..." tunasali na wengi tu ambao Mungu aliwabadilisha na sasa wanafamilia zao. Usikatishe wengine tamaa
Binafsi niliwahi kutumia tinga tinga robot ila kwa trade moja tu
Kwenye comment section nilikutana na jamaa mmoja mkenya so nikamfata inbox akanipa contact tukawasiliana.
Alinambia aniuzie copy ya tinga kwa $300 but nilichonga nae coz nlikua sina pesa akanipa hyo copy kwa $100 ili nikipiga...
Mungu ni Neno+Mungu ni roho= Neno ni Roho ...huwezi kuelewa vya rohoni kama haupo kiroho, bila uwezesho wa Roho Mtakatifu Biblia nikama kitabu cha stor tu
Kuna tofauti ya Biblia na Biblia takatifu. Kila mtu anaweza kusoma Biblia, hata waganga sikuhizi wanakiwa nazo, hata wanaobishana...
Nyie watu mnataka mpendane tu kibinadamu. Haiwezekani ndugu
Mungu ni upendo na mwanzo wa upendo wote. Kama haijaanzia kwa Mungu mtapatana na baada ya siku chache hali itarudi vilevile. Lazima Mungu aingilie kati kwanza
Haya matatizo yanarithishwa pia, kilichotokea kwa wazazi wako kitatokea...
Kama ametoboa au kubarikiwa kwanini kaleta huku kuomba ushauri!,
Hili jambo linamnyima amani ndio maana halitulii ndani yake.
Kwenye msamaha we don't check who is right or wrong. Anatakiwa kusamsamehe mama yake na huo ndio mwanzo wa maisha yake kufunguliwa
Ndugu hata mzazi wako ikiwa ndiye...
Pole sana
Mimi naamini sana solution ya tatizo kutatuliwa rohoni kwanza kisha mwilini.
Una roho ya kukataliwa na ulikataliwa tangu tumboni. Ukichunguza maisha yako utaona kwamba hujakataliwa na mama tu ila watu wengi around wewe wanakukataa pia
Hata sasa hapo ulipo una wakati mgumu...
Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani.
Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena.
Kuota upo kijijini kwenu na kuona unapitia mazingira flani huko maana yake ni kwamba;
Matatizo ulionayo kwa wakati huo chanzo chake ni huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.