Kwa hiyo na yeye ni kajukuunau katoto ka wanamtandao😁
Pia nimeona kumbe wako wengi waliowekwa ktk system na wanamtandao...soma Uzi huu hapa chini uone jinsi watu walivyoingizwa ktk serikali na RA na team....hata Bash jamani kumbe alikua mfanyakazi wake ktk moja ya kampuni ya habari ...kweli...
Sawa , My advice, tumia muda kutuambia juu ya hiyo dini Yako nzuri...sio kukesha kusema za wenzenu.....!
Sitatumia muda kujibu hoja zako bse nimefunzwa na Bwana ktk:
Matthew 7:6
[6]Give not that which is holy unto the dogs, neither cast ye your pearls before swine, lest they trample them under...
Bora nimwamini mshika Dola halisi.... kuliko huyu...maana kile ninachokiona na kusikia Sasa ...idara hii ya huenda inamilikuwa na mtu yeyote
https://youtu.be/ecUQI3DPu7c?feature=shared
Mungu iponye Tanzania!!
Wiki Jana chauma walivalisha watu t-shirt wengii kule tabata ktk mikutano, ingawa washangiliaji walikua kiduchu, Sasa baada ya taarifa hizi na waza hivin hata mtu akipewa t-shirt ya bure atavaa kweli?😁😁 Aibu Gani hii!
Yaani hawa jamaa wametufanya mazombi kweli...embu fikiria kama lisemwalk na polepole ndio sahihi:,
1. Mifumo yakuhesabu kura ya NEC ni Yao
2. Vyama vya siasa vilivyochukua form mali yao
3. Wasimamizinwa uchaguzi ni mali yao
3.Dola ni mali yao
4. Wachapisha makaratasi ya kura, ni watu wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.