Recent content by Manchesterunited20

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

    hizi NGO zimeharibu wanawake.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Najitahidi kuzisoma na kuzielewa comment zote wadau. Purple hilo neno la matumaini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Hana ujauzito obedson, ana mtoto wa 3yrs nikisema ya mimba mtanicheka. Hayo nayaacha kwanza.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Nashkuru kwa ushauri wanajf, real nimejua nilipokosea kutokana na koment zenu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Herera, it doesn't mean kuwa kwao hawajui kuwa mimi nina mahusiano na binti yao bt sijaenda huko rasmi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Asante Kijani11
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Hayo maamuzi mepesi ndio maana nimekuja kwenu wana jf ili kama inawezekana mnisaidie mawazo. Maana ningekimbia wengine wangesema nimewatelekeza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Asanteni kwa ushauri wanajf kama ni kupiga nilishapiga mpaka nikapeleka hosipitali ya rufaa mkoa flani hivi lakini sioni sababu ya kumpiga tena. Na isitoshe alishasema nikimpiga tena ananifunga so hiyo option nimeiacha wadau.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    KIDHEA, ni mengi sijayazungumza kwani kila ninavyozidi kuandika maumivu hayauachi moyo wangu. Lkn mawazo niliyoyapata hapa hakika naendelea kujifunza na mwisho nitatoa final say and decision. Kisha nianze safari ya matumaini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Kikuna thanks, bt ningejua i couldn't get myself into such a trap
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Paulo kuna wakati unafika hadi huoni umuhimu wa kufanya kazi, ukizingatia you are toiling for this!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    X-pel. Nashkuru kwa neno. Sasa ndio naanza kulewa ule wimbo wa lucky dube (mama).
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    MO11 hapa nilipo nishaandaa proposal ya kumuacha, nilikuwa nasubiri angalau mtoto akue hata anijue and i thank God she knows me sana sasa hivi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Makuku Rey nashkuru kwa neno la matumaini.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    IKINGO Get it sijatunga, this is really what happens and that am living for 4yrs now.
Back
Top Bottom