Recent content by manaina jr

  1. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Hela ya kujikimu tumeandishwa 80,000 kwa siku, je ni sahihi?

    Mara 7 mkuu..
  2. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Hela ya kujikimu tumeandishwa 80,000 kwa siku, je ni sahihi?

    Wakuu habari za muda huu, Waajiriwa wa ajira mpya za TAMISEMI tulivyoripoti kwenye Halmashauri zetu ili tuanze kazi.. Tuliambiwa tuandike barua za kuomba pesa ya kujikimu ambapo tuliambiwa tuandike Tsh. 80,000/= per day.. Baada ya kufatilia kwa watumishi wenzetu waliotutangulia kazini...
  3. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu sijaupata account ilikuwa blocked, nifanyeje?

    Shukrani mkuu kwa ushauri.. Tulikuta hiyo order mkuu kwamba bank ni mbili tu either NMB or CRDB and kiukweli nilifanya mistake kutokwenda kuicheck account kabla ya mshahara kuingia..
  4. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu sijaupata account ilikuwa blocked, nifanyeje?

    Hata mie nashangaa wanaotukana.. Binadamu tunakosea.. na sio vibaya kuomba ushauri au msaada
  5. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu sijaupata account ilikuwa blocked, nifanyeje?

    Shukrani sana mkuu
  6. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu sijaupata account ilikuwa blocked, nifanyeje?

    Ahsante sana mkuu
  7. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu sijaupata account ilikuwa blocked, nifanyeje?

    Mkuu Sikuwa najua kama account ikikaa muda wa miezi sita bila kuitumia wanaiblock
  8. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu sijaupata account ilikuwa blocked, nifanyeje?

    Habari za muda huu wakuu. Mimi ni miongoni mwa waajiriwa wa ajira mpya zilizotangazwa na TAMISEMI mwezi wa 6, 2023.. Sasa kabla sijapata kazi serikalini nilkua natumia EQUITY BANK kwenye kupokelea mishahara yangu kule nilipokuwa nimeajiriwa. Baada ya kuajiriwa serikalini nikatakiwa nijaze...
  9. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Hahhahaa ndugu yangu Paskali ingawa najua sio jina lako halisi. Kaa ukijua hatumchagui Gwajima unaemjua wewe tunamchagua Gwajima tunayemjua sisi na mwenye uwezo mkubwa wa kutetea hoja na kutuletea maendeleo.
  10. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Gwajima ndo mbunge wetu Gwajima ndo chaguo letu Tutaenda nae Dodoma
  11. manaina jr

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Inaonekana kabisa wewe ndo unaamka leo. Yaaan hoja kama hizi za kitoto hata Halima mwenyewe kashaacha kuzitumia kwa sababu haziwatishi wala kuwashtua wana Kawe. Tafuta upupu mwingine wa kuja nao hapa.
  12. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Ushahidi Gwajima ananunua kadi za wapiga kura Kawe

    Hahahhahah poor mind Yaan mmekosa uongo wa kiutu uzima mnakuja na utotoni huu jukwaani..
  13. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Gwajima ahadi hii iliishia wapi?

    Ataitekeleza tu hata Mungu mwenyewe aliwaahidi wana wa Israel nchi ya maziwa na asali lkn ilchukua miaka mingi kutimia Wanakawe tumeamua kwenda na Gwajima hivyo hivyo
  14. manaina jr

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Sio lazima lakini pia hamna anayekupangia. Kwahiyo hapo sioni shida yoyote kwa Gwajima.
  15. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kiroho wasipitishwe kugombea nafasi za kisiasa kwa Usalama wa Taifa

    Me ningekua moderator huu uzi usingefika hadi saa hii.. Una lengo la kuleta udini kwenye taifa letu. Gwajima kutangaza nia tu imekua nongwa, sijui mnamuogopa maana sielewi sielewi.
Back
Top Bottom