Hakuna muungano wa kisiwa cha Unguja na Pemba (Zanzibar) hivi vipo hivi asili na asili ila km ww unaona vimeunganishwa nipe kumbukumbu yyte ile inayosema km hivi visiwa vimeungana!
Me nawashauri kitu kimoja kama mzanzibar na kama mtanzania mzalendo wa nchi yangu.., tuache kasumba na kuongea...
Janga la taifa ni wanasiasa wanaotumia nguvu za vijana "nguvu kazi wa taifa hili kwa matokeo binafsi" hili me naona ni pekee kwa kuwa wanazaa fitna,uhasama,ubaguzi,matabaka n.k hili ni janga kubwa kwa kuwa linakuwa siku hadi ila mwisho maafa yake tutakuja kulia kwa taifa Zima (aliyekuwepo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.