Recent content by Man Mvua

  1. Man Mvua

    Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

    Magari sa hivi bei juu sana, nadhani mafuta yamechangia sana. Ngoja tusubiri 2025 mafuta yakishuka bei.
  2. Man Mvua

    Tokomeza wadudu warukao na watambaao

    Mnapatikana mkoa gani ? Mbu wananisumbua sana aiseee.
  3. Man Mvua

    Vitu gani kwa wengi ni vya kawaida ila kwako sio vya kawaida

    Namba moja hapana aiseee siwezi kumaliza japo wiki moja tu bila kujichua vinginevyo nito......e kila baada ya siku mbili au tatu. Sherehe, hafla au shughuli yoyote siwezi kabisa kuhudhulia na sijawahi kufanya sherehe ya aina yoyote ile, siku yangu ya ndoa ukeni walipolazimisha sherehe ikabidi...
  4. Man Mvua

    Nauza pikipiki

    Muuzaji labla atakuwa Zanzibar anawauzia wapemba wenzie , kwa huku bara ni ndoto. Jamaa yangu juzi kauza 1.2M boxer aliyonunua mwezi wa pili tu hapo.
  5. Man Mvua

    DESTRUCTION=BLACKS , CONSTRUCTION = WHITES( Saikolojia iko wazi kabisa)

    Tatizo Afrika tumeipa nguvu na thamani kubwa mno SIASA kuliko weledi na taaluma. We uliona wapi ! Mtunga sheria za Nchi ( kodi na namna ya kuongoza Nchi) ajue kusoma na kuandika tu huku msimamizi wa hizo sheria ni form four leaver (Polisi ) halafu mtafsiri wa sheria hizo zilizotungwa na darasa...
  6. Man Mvua

    Hii imekaaje? Kada wa CCM alafu ni Mkurugenzi wa uhandisi Ruwasa. Yaani kada alafu mtumishi wa umma.

    Ndio maana Nchi haiendelei na wizi unakithiri kwa sababu ya watu kuwekana na Uchama. CCM WOTE NI INCOMPETENT.
  7. Man Mvua

    Elia Wilinasi: Watanzania kwa Pamoja tutumie nishati safi ya Gesi

    Mje Muwaambie WASUKUMA waache kukata kata miti ovyo badala yake watumie gesi. Wasukuma ni kabila ambalo linakata miti kupita kiasi pia kwao kutumia gesi ni anasa kwa kuwa kuna kuni za bure. Hawa jamaa hata waliosoma hawajaelimika kabisa.
  8. Man Mvua

    Madeni na kampuni za kukusanya madeni

    Check inbox yako mkuu kuna ujumbe wako. Au nitafute
  9. Man Mvua

    Dar: Kundi la WhatsAppp lamfikisha Mwanahabari Maria Victor Mahundi mahakamani

    Haya sasa watetea Legacy ya mwendazake waje hapa watetee... Jamaa alikuwa sio Mtz kwa ile roho yake aiseee.
  10. Man Mvua

    Nikiamua kuacha kazi, mfuko wa PSPF watanipa stahiki yangu?

    Kachukue pesa mzee ufanye biashara.
  11. Man Mvua

    Nikiamua kuacha kazi, mfuko wa PSPF watanipa stahiki yangu?

    Ndio kwa kuwa nawe ni mtumishi. Hii sheria ni kwa wote NSSF na PSSSF.
  12. Man Mvua

    Waziri Bashungwa apiga marufuku walimu kupita kila ofisi ya halmashauri kutafuta huduma

    Porojo tu, huku Maswa mwalimu aliyehamia kutoka Arusha mpaka sasa hawajampangia kituo cha kazi. Miezi miwili kupanga tu kituo cha kazi ni shughuli ya kufanikisha.
  13. Man Mvua

    Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Mimi mahari yangu ilikuwa laki tano nayo sijalipwa hata senti moja mpaka sasa hivi.
  14. Man Mvua

    Serikali ijaribu sera ya madaraka mikoani, yaweza kabisa kuibadili nchi yetu ndani ya kipindi kifupi

    Naheshimu sana mawazo yako ILA huo mfumo ndio uliokuwepo kabla JPM hajabadilisha na kuleta huo wa sasa kwamba pesa yote inakusanywa kwenda hazina na kurudishwa mikoani kwa ajili ya maendeleo. MADARAKA YALIKUWA MIKOANI NA PESA WALIKUWA NAYO TATIZO WATZ SISI NI WEZI SANA NA WABINAFSI MNO. ACHA...
  15. Man Mvua

    Mafunzo ya VETA yawe ni muhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita

    Upo sahihi kabisa, naunga mkono hoja. Waende kama wanavyoenda jkt kidato cha 6
Back
Top Bottom