Hiyo ya ku dm wahusika mm nshafanya had kwa mawaziri,sospeter muhongo,Angel kairuki na wengine waliokuwa wizara ya nishati na madini,sikuwahi jibiwa hata 🤣
Mm nipo Tangu 2015 ,naona kitu kimenishinda n kuingia kule Premium ,sjui had uwe Premium ndio unapata kazi ,nkaachana na hyo akaunti yangu yenye qualifications za Geologist,nikafungua ya Udereva ,ila still hola hakuna msaada.
Habar KIONGOZ,mi dereva ila sjawah fanya kazi international NGO yeyote,lkin nataman nifanye Kaz mashirika au hizo taasisi, Please km Kuna chance nisaidie hapo nijitose.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.