Kama aliweza kutuma humu screenshot ya mwanzo kwa nini ashindwe kutuma hiyo aliyo win au aliyocashout,mambo kwa ishahidi vinginevyo kwa ukimya huu hatuna Imani na huo mkeka wa mwanzo kama kweli ni wake
Huku kwetu mkoa x wilaya x majina yalipelekwa kwa mkurugenzi akawarudishia maana walikuwa wamejaza majina ya watumishi tu na majobless wengi walkuwa wamelambwa vichwa na mpaka sasa bado kimya hatujui majina yanatoka lini, Hii nchi ngumu Sana
Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.