Recent content by Man Feast

  1. Man Feast

    Je, kuna uwezekano Profesa au Dr, kushindwa kufanya mazungumzo rasmi kwa lugha ya Kiingereza

    Inawezekana na sidhani kama ni tatizo kwa msomi wa ngazi kama hiyo kutokujua kuzungumza kingereza kwa ufasaha iwe ni Tanzania au nchi nyingine yoyote .Na kushindwa kuwa fasaha sio dhambi / jambo la ajabu , ila kituko ni pale ambapo msomi atashindwa kuwasiliaha kile alichokisoma , mfano...
  2. Man Feast

    Biomedical equipment engineering at DIT vs electrical and biomedical engineering at ATC

    Nadhan ni vema ukadownload prospectus za vyuo vyote viwili ili ujue corrse content ni ile ile au kunasehem imezidi
  3. Man Feast

    Sasa masomo ya sayansi lazima sekondari, utaratibu wa kuchagua masomo kidato cha tatu haupo tena

    Nianze kuipongeza serikali kwa Mia nzuri ya kutaka kuongeza idadi ya wanasayansi ili taifa liweze kuendelea na kuweza kufikia kumudu kujiendeaha kama taifa la viwanda ambalo ndilo tunaliendea. Nipende kutoa maoni yangu kwa wizara ya elimu juu ya approach inayotaka kui-impliment ili kuongeza...
  4. Man Feast

    Sasa masomo ya sayansi lazima sekondari, utaratibu wa kuchagua masomo kidato cha tatu haupo tena

    Masomo ya sayansi lazima sekondari Masomo ya sayansi lazima sekondari - MUUNGWANA BLOG
  5. Man Feast

    Kwa anayekifahamu chuo cha kilimo Igurusi Mbeya

    Nambazao ukipiga unaambiwa namba imezuiliwa kwa muda , alaf mamba nyingne ukipiga anapokea RAIA wa kawaida tena mwanamama! Hata cjui how come wameweka mamba zisizo na msaada wowote
  6. Man Feast

    Kwa anayekifahamu chuo cha kilimo Igurusi Mbeya

    Nimechaguliwa MATI- Igurusi ,
  7. Man Feast

    Kwa anayekifahamu chuo cha kilimo Igurusi Mbeya

    Anayefaham naomba anijuze , Mimi nimekua selected according to NACTE lakini kunataarifa zinaonyesha Kuwa bado uthibitisho kutoka chouni. Ningependa kufaham kwamba inachukua mud a gani kuthibitishwa na Chuo , pia mwaka wa masomo kwa wanafunzi wa diploma za kilimo utaanza mwezi wa ngapi ?
Back
Top Bottom