Sasa hivi wanaiba vifurushi vya data , , wanaiba ukinunua umeme. Tanzania tunaongozwa na vibaka tupu waliotumia fursa ya katiba nzee kufungia bao la mkono, wameanza kutafuta hela za kampeni feki za kanga na kofia na boksa za kuwapa walala hoi, huku wahesabu kura na wanaotangaza wakipewa ahadi...
Mleta mada relax watu wanauzoefu nao ila sio wote wabaya,yaani ktk single mother 1000 , mmoja tuu ndio wife material , hao wengine ni wafanyabishara wa uchi waliopata faida zao , na bado tunawaungisha tuu hatuna roho mbaya , ila idadi yao inatisha kwa sasa jmn naandaa uzi wao nikipata mda...
Ukiwa Tanzania kama unaweza kupata hela ya mtu au watu bila kumshikia mtu yoyote silaha kama panga wala bunduki au silaha yoyote ile ni wewe tu baba na ujuzi wako leta desi, leta mafuta leta maji, leta tunguri,, leta kikombe,, yaani chochote,. Hakuna utakaposhtakiwa upate hukumu ya ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.