Nipo mkoan naitaji kufanya biashara hii, msaada. Nahitaji mzigo mzuri. Hasa kwa mabelo. Pia nahitaji mtu mwaminifu wa kuniongoja na kunipa ushauri mzuri. Wengi wamekuwa wakidanganya, nina mtoto mdogo sijaanza kusafiri.
Sijaingia humu ndan kwa mda mrefu, nahitaji kumpm wiseboy na dumelang ila sijafikia vigezo, msaada plz. DUMELANG NA WISEBOY NINASHIDA NA NYIE, MSAADA WENU NI MUHIMU SANA. NIKIPATA NAMBA ZENU NTASHUKURU SANAAA

Habari,
Naombeni ushauri wenu. Nahitaji na natamani kuanza biashara ya mitumba ya nguo na viatu na nipo mkoani singinda. Je, nahitaji mtaji wa sh ngapi ili nianze? Pili, je baro kwanzia daraja la 1-3 ni bei gani kwa kila daraja,na yanapatikana wapi? Na pia naomba wenye uzoefu na hii biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.