Recent content by mamyake

  1. mamyake

    JamiiForums Tanzania Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

    Kwa sasa baba anajitahidi kumlea kwa uwezo wake, ila siku za mbeleni kaka mtu ajiandae kisaikolojia.
  2. mamyake

    JamiiForums Tanzania Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

    Very true, shemeji yangu (mtoto wa baba mkwe) amezidiana na mwanangu mwaka mmoja. Mmoja ana miaka 4, mwingine 3
  3. mamyake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single fathers: Wanaume mje msome

    Nimeshindwa kabisa kuisoma yote, anaeweza kutoa summary please do
  4. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Nitakuwa maeneo ya kituo kikuu cha polisi (central)
  5. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Maeneo gani boss?
  6. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Shukran mkuu
  7. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Nimemaanisha nilichokiandika
  8. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Watu wa aina yako huwa hamkosekani.. haya mkuu
  9. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Seriously???
  10. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Iko maeneo gani hii boss
  11. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Asanteni sana wakuu
  12. mamyake

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Habari Wakuu. Naomba mnijuze lodge nzuri Arusha City. Budget isizidi 30,000. Natanguliza shukrani.
  13. mamyake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zetu wa humu Mijini kwanini siku hizi wengi wenu mnapenda kujifungua kwa kupasuliwa tumboni na hampendi ile njia ya kawaida?

    Sababu zipo kadhaa. (1) Madaktari wenyewe wanachangia kwa kushauri ujifungue kwa kisu kwa usalama wa mama na mtoto. Hapa atakupa sababu za kitabibu na utakubali tu maana yeye ndio ana utaalamu zaidi yako. Ila mara nyingi madokta hao wanatarget kupata malipo zaidi sababu operation ina hela ndefu...
  14. mamyake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

    Speaking from my experience as a married woman ili ndoa idumu inahitaji uvumilivu mwingi, uwazi katika kuwasiliana , kukubali tofauti za mwenzako, kujishusha pale inapobidi na kuomba sana Mungu awape hekima ya namna ya kuishi pamoja. Sio rahisi, ila ukiamua inawezekana.
Back
Top Bottom