Recent content by mamudokta

  1. M

    JamiiForums Tanzania MAWAZO MAGUMU PART I-Arumeru

    Lakini "ROHO" tunayoiongelea ni ipi inayorudi kwa Mungu? na Je ikirudi (KAMA ULIVYO DAI KWANI MIMI SIAMINI HIVYO) inaendelea kuwajibika kama mtu aliye hai? Kiukweli ile tuiitayo roho si kingine isipokuwa ni"PUMZI" na sina uhakika kama kuna mahali pa kuhifadhi pumzi za woote waliokwisha kufa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nabii Flora wa Mbezi DSM ameumbuka Uchaguzi Arumeru!

    HIYO NI MIUNGU NDIYO ILIYOMWOTESHA NA SI MUNGU( JEHOVA) WA MBINGUNI. TUNASHUKURU KWAMBA PAMOJA NA UOZO WA CCM KUENDELEA KUFUNULIWA, MUNGU PIA ANAENDELEA KUTUFUNULIA AKINA NANI SIYO WATUMISHI WAKE ILA WANATUMIKIA MATUMBO YAO KWA KIVULI CHA MUNGU- roho wa Manabii wa kweli daima huongozwa na Mungu...
Back
Top Bottom