Recent content by Mamuabby

  1. M

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Basi la Mohammed Trans lapata ajali, watu kadhaa wafariki dunia

    Ni walimu ambao wanajiendeleza kimasomo na walikodi gari pamoja kutoka chuoni tanga baada ya kumaliza mitihani yao
  2. M

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Basi la Mohammed Trans lapata ajali, watu kadhaa wafariki dunia

    Inauma sana kama nawaona vile walivyokua wanaondoka kwa pamoja chuon wakiwa na furaha..R I P
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna yeyote aliyepangiwa Eckernforde Tanga university tujuane

    Kwa yeyote aliepangiwa au anaesoma Eckernforde Tanga university naomba tujuane japokua tuko wachache
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aliemaliza form six 2010 hata kama amechagua kozi ambayo ni priority anaweza kupata mkopo?

    Nahitaji kuelewa kama kwa mwanafunzi aliemaliza form six 2010 na amefanikiwa kuchaguliwa kozi ambayo ina nafasi kupata mkopo (BAEd) je anaweza kupata mkopo ukiangalia kigezo cha mwaka wa kumaliza form six?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aliemaliza form six 2010 hata kama amechagua kozi ambayo ni priority anaweza kupata mkopo?

    Mwenye uelewa mzuri kuhusu hili msaada tafadhali..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aliemaliza form six 2010 anaweza kupata mkopo kutoka Heslb?

    Makosa ya uandishi,ni BAEd(Bachelor of arts with education)
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aliemaliza form six 2010 anaweza kupata mkopo kutoka Heslb?

    Kwahiyo inamaanisha hata kama uko BEAd umemaliza form six 2010 hupati mkopo au?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aliemaliza form six 2010 anaweza kupata mkopo kutoka Heslb?

    Mimi nimepata BAEb na nilisoma shule za government,nilisikia kwamba wanaopata mkopo ni wale waliomaliza kuanzia 2012 ndomana napata mashaka.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aliemaliza form six 2010 anaweza kupata mkopo kutoka Heslb?

    Hichi kitu kinachanganya kwa anaefaham naomba anijulishe kama kuna uwezekano wowote wa kupata mkopo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Heslb watatupa lini majibu?

    Kwa anaefaham ni lini Heslb wanaweza kutujulisha tumepata mkopo kiasi gani tupeane taarifa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua kuhusu eckernforde na Mwalimu nyerere kama washatoa majina au vp

    Ni lini wataachia majina maana sijasikia lolote, kwa mwenye kujua chochote tafadhali naomba msaada nina wasiwasi sana.
Back
Top Bottom