Recent content by Mamserenger

  1. Mamserenger

    Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

    Aloo manara sio wa Kugombana nae asee... Yule mzaramo sijuiii... Maana sijui hata mkewake anamuwezaa
  2. Mamserenger

    Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

    Ma Dokta sio wasomi wasiasa na uwandishi...
  3. Mamserenger

    Tuseme ukweli, Serikali inategemea mapato ya wananchi wala siyo lingine

    Dondosha hiyoo Clp tuzidi kupata machungu...na hawa hayani wrtu
  4. Mamserenger

    Jinsi gani ya kukabiliana na wizi/utapeli unaotokana na kusemeshwa na kupumbazwa na mtu usiyemjua?

    Hahahahaha Mwenyekiti wa uzi wetu pendwa wa Kimasikhara uliingia kwenye mikono ya Wajuba wa kapaa na wewee[emoji23][emoji23] Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  5. Mamserenger

    Jinsi gani ya kukabiliana na wizi/utapeli unaotokana na kusemeshwa na kupumbazwa na mtu usiyemjua?

    Na wewe walikupopoaa...pole mchmb Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  6. Mamserenger

    Kataa ukubali, Mwenyezi Mungu kawapendelea wazungu

    Kwelii babuu Mota na Battery kaagiza nje sa pale si ma bati tuu ndo kayapaka rangi na kuyachora Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  7. Mamserenger

    Kataa ukubali, Mwenyezi Mungu kawapendelea wazungu

    Weweee acha hizoo... Yule anae Amini Allah alieko kule umakondeni uje useme awe sawa na yule alieko Kule Dubai...??? Vuta ni kuvute hiii... Hakuna cha nini ila Black people black Mind kademshit Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  8. Mamserenger

    Kataa ukubali, Mwenyezi Mungu kawapendelea wazungu

    Shida ni kwamba Uwarabuni wanaongea kiarabu na kusali ki Arabu. Ulaya wengi ni wana sali ki Christo na wana amini katika Christo. Sasa sisi ndo hatuelewi which is Which...!!? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  9. Mamserenger

    Kataa ukubali, Mwenyezi Mungu kawapendelea wazungu

    Hizi na dharia ndo zina tufanya tuishi.. Ki holela holela kwa kushabikia dini na mambo mengine tofauti. Uyo Allah... Mbona kawapa wale mali akili afya nzuri tena wenye nguvu kuliko wewee...??? Sasa utajuaje kama huyo Allah kama sio wao ndo wame mleta ili tukariri na kushindwa kubuni... Maana...
  10. Mamserenger

    Kataa ukubali, Mwenyezi Mungu kawapendelea wazungu

    Yaap na ndo maana kule Amerca kazi zao ni kuimba kuigiza na hata kuchekesha... Lakini katika Science oportunity horob hakuna kitu kabisaa Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  11. Mamserenger

    Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Matukio mengi humu ya shule sanaa... Ila ingefaa yawe ya mtaani katika pilika za maisha. Sa mtu kuja na kisa cha darasa la kwanza leo hii dah... Any way tushushe nondoo Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  12. Mamserenger

    Kwani 'Commercial Wings' za JWTZ hazitoshi hadi sasa 'Makambini' Kwao kuruhusiwe Kujengwa 'Fremu' za Biashara?

    Sio ma biashara bhanaa Jeshini. Jeshini ni sehem nzuri ya kujenga karakana kubwa Askari wanaoneshana ma ujuzi baada ya kutoka katika mafunzo Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  13. Mamserenger

    Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Kila Mapitio ya watu nayo soma... Ila hili la Mjita asee lina niacha hoi kila nikikumbukaaa dah...[emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom