Recent content by mamichu

  1. M

    Viongozi wa vyama vya kisiasa kufanya vikao na watendaji wa serikali ni halali?

    Usimamizi wa serekali iliyoko madarakani ni jukumu la kila mtu achilia mbali vyama vya siasa na ndio maana nchi za wenzetu zinatushinda.Kufuatilia shughuli za serikali ni muhimu kwa watu wote ikiwemo wewe na kwa sababu watanzania ni wavivu,waoga na tunapenda kufanyiwa tunaishia kuamini tu...
  2. M

    Nahitaji mkopo kwa haraka

    tafadhali nahitaji mkopo wa muda malipo ndani ya miezi minne.Please anyone to help?Ninaisha Daresalaam
  3. M

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    inasemekan haijazama ila ina dalili za kuzama na zimeshakwenda boti kwa ajili ya kuhamisha watu,ilikuwa inatoka znz kuja Dar...
  4. M

    Baada ya mwl.Nyerere Raisi ni Dr.Kikwete

    kaseisi,tnx 4 elaboration..
  5. M

    Baada ya mwl.Nyerere Raisi ni Dr.Kikwete

    pm..Dr JK Ni bora kati ya maraisi wa awamu ya pili na tatu...
  6. M

    Baada ya mwl.Nyerere Raisi ni Dr.Kikwete

    Mwalimu alikuwa na busara na kuona mbali,Dr.JK Yeye kawaachia uwazi ili mjionee madudu yaliyokuwa yakifanywa na wenye nafasi zao ndani ya mfumo tangu utawala wa awamu ya pili...
Back
Top Bottom