Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

Chaimaharage

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
211
78
Jamani nchi hii sasa ina ombwe la uongozi limezidi mipaka. Priority katika mambo ya msingi hakuna tena. Tunapo ambiwa suala la madaktari liko mahakamani nani asiyejua utendaji wa shughuli za mahakama unavyo chukua muda kufikia hukumu zake?

Serikali kwa sababu haina nia ya kutatua mgogoro huu waliamua kulikimbizia mahakamani wakijua fika mahakama haiwezi kushurutishwa kutenda shughuli zake na hivyo kupunguza nguvu ya mgomo.

Hivyo basi naomba wananchi wote, vyama vya siasa, wanaharakati wa haki za binadamu, dini zilizo na uchungu na nchi hii zisizo tumiwa na wanasiasa tuipe serikali siku chache kama siyo masaa serikali kutatua mgogoro huu ama sivyo tuiwajibishe.

Upole wetu unatuponza, wanautumia kutufanya wanavyotaka kama mafisadi wanavyomtumia DHAIFU kufanya wanavyotaka.
 
Kipaumbele ni kuitetea CCM na Serikali yake.

Ninyi wananchi mtakumbukwa 2015 kwa kupewa Wali Maharagwe, Khanga na T-Shirt za Yanga, Taarab za T.O.T kidogo na Matusi Ya Lusinde.
 
Jana nilisikitishwa sana na majibu DHAIFU na yasiyojali utu yalitolewa na waziri mkuu DHAIFU kuwa suala hilo limeachiwa mahakama. Haihitaji akili ya ziada kujua kuwa mahakama haina uwezo wa kutatua mgogoro huo. Tayari mahakama imekwisha waagiza madaktari warudi kazini lakini wameipuuza, sasa itaweza kufanya nini zaidi? Iamuru wafukuzwe kazi, haitasaidia. Iamuru wafungwe jela, pia haitasaidia kabisa. Ni serikali isiyojali watu wake na DHAIFU tu ndiyo inayoweza kupeleka suala kama hili mahakamani. Badala ya kulikabili na kulitafutia ufumbuzi kwa UDHAIFU wao wanatupia mpira mahakamani kusikokuwa na ufumbuzi wowote.

DHAIFU Pinda anakiri kuwa ameshindwa kutatua, mpambanaji Lissu anamwambia, "then why don't you resign", halafu spika DHAIFU anamkingia kifua DHAIFU mwenzake. Na wakati huohuo raisi DHAIFU yeye ndiyo yuko wapi sijui, kimya kabisa.

Enough is enough, something has to be done to remove this DHAIFU government, the sooner the better!
 
We need to PROTEST...THIS GOVERNMENT IS SUCCUMBED WITH WEAK PEOPLE IN POSITIONS OF AUTHORITY. Can't we all strike now and save our lives?
 
Ndugu wana Jf
Kuna habari zimenifikia kuwa Meli ya KALAMA imezama mida hii, na ilikuwa na abiria wengi sana. Mtu aliyenipa hizi taarifa ni wa kuaminika.
Please wana habari Active hebu tupeni nini kinajili

Taarifa hiyo ni ya ukweli, kwasababu mpaka sasahivi hapo Zanzibar kuna harakati za uokoaji zinaelekea majini.

inasemekan haijazama ila ina dalili za kuzama na zimeshakwenda boti kwa ajili ya kuhamisha watu,ilikuwa inatoka znz kuja Dar...

Ama mie taarifa niliyonayo mpaka sasa ni kwamba meli imezama, na meli ziko zinaelekea kuokoa, na ilikuwa inatokea Dar.

Inawezekana ni kweli meli inaitwa Skagit inadawa kuzama eneo la Chumbe ikiwa na abiria wapatao 200, meli ya Azam ya Kilimanjaro pamoja na meli zingine zinaelekea eneo la tukio kwa ajili ya uokoaji.
 
inasemekana abiri walikuwa wengi sana na hali ya bahari ni mbaya, kuna upepo mkali sana, kwahiyo meli imepinduka. jamani walioko kwenye access za kusikia matangazo kwenye maredio tunaomba mfuatili nini kinaendelea
 
Ebwana mtoa taarifa mbona taarifa hazija kamilika hiyo meli inasafiri toka wapi kwenda wapi? Imezama wapi ikitokea wapi ?


Ndugu wana Jf
Kuna habari zimenifikia kuwa Meli ya KALAMA imezama, na ilikuwa na abiria wengi sana. Mtu aliyenipa hizi taarifa ni wa kuaminika.
Please wana habari Active hebu tupeni nini kinajili
 
Ndugu wana Jf
Kuna habari zimenifikia kuwa Meli ya KALAMA imezama mida hii, na ilikuwa na abiria wengi sana. Mtu aliyenipa hizi taarifa ni wa kuaminika.
Please wana habari Active hebu tupeni nini kinajili

Inawezekana maana upepo wa leo si mchezo, sipati picha bahari imechafuka kiasi gani. NI hatari sana
 
Duh! MUNGU mwenye uweza kawe mtulizaji wa haki Mungu!

Na kuna rafiki yangu alikuwa anatoka Zenji kuja Dar na kesho kutua A town na kwa kweli tangu aniambie amepanda usafiri wa kuja Dar sijampata hewani tena!

Janga lingine tena kwa Taifa letu DHAIFU!

MUNGU TUEPUSHE NA MAJANGA HAYA MUNGU WETU!
 
Eeh Mungu wa mbinguni tunusuru waja wako maana wanyonge na maikini ndio wanaoteketea na kupotea kama hivi
 
Ndugu wana Jf
Kuna habari zimenifikia kuwa Meli ya KALAMA imezama mida hii, na ilikuwa na abiria wengi sana. Mtu aliyenipa hizi taarifa ni wa kuaminika.
Please wana habari Active hebu tupeni nini kinajili

Taarifa hiyo ni ya ukweli, kwasababu mpaka sasahivi hapo Zanzibar kuna harakati za uokoaji zinaelekea majini.
 
Uongozi dhaifu hakuna wakaguzi kabla chombo hakiondoka kazi ya ccm hiyo .
 
inasemekan haijazama ila ina dalili za kuzama na zimeshakwenda boti kwa ajili ya kuhamisha watu,ilikuwa inatoka znz kuja Dar...
 
Back
Top Bottom