Recent content by Mameto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Niende wapi wewe ?me nipo kama kawaida .na frem moja imeshapata mteja ,nafikiri jf inamatapeli sana ndio mana watu wanakuwa na wasi wasi sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Kwa anaehitaji kuiona na kuonana na mwenyewe apige +255718865033
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Naona watu hamuamini ila huo ndio ukweli na nina frem yangu pale nalipa hiyo hiyo laki mbili kwa mwenzi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Duh! aya nimekuelewa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Kodi ni ya mwaka mzima
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Kwa mwaka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Ndio bei yake hata kabla kituo hakijahama
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Pale ilipokuwa stend karibu kabisa na maduka ya vipodozi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fremu zinapangishwa Mwenge

    Frem zinapangishwa mwenge kwa sh laki mbili kwa mwezi .kwa anaehitaji anipm.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wewe binti unaependa waume za watu!

    We kama mume anakuhudumia vizuri na watoto shukuru Mungu hayo ya michepuko usiyawazie ,wanaume wana siri sana na ningumu sana kuwagundua .mwanaume anaweza kumpenda mchepuko kuliko wewe ulioko ndani na akamfanyia maendeleo makubwa tu ,tena usiombe awe na mchepuko unaojua kula na kipofu .
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Duh!.yamemkuta tena Gwajima. Aliwahi pigwa vibao na jamaa mmoja kwenye saloon moja hivi .kisa Gwajima alimla mwanamke wa huyo jamaa , Kuweni makini na Gwajima ni mchafu sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri mke wangu sio muaminifu hata kidogo

    Jf ni raha sana kama unastress zinaisha zote
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimerudi,nikakuta kaiondoa camera!i'm really at the dilemma,sijui ndio keshaliwa?

    Hahahahaaaa,aise umenichekesha sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fremu ya biashara mwenge stand

    Kuna ndugu yako niliwasiliana nae juzi kwa bahat mbaya nimepoteza namba yake.naomba anipigie kunafrem imepatikana afanye haraka mana itachukuliwa.
Back
Top Bottom