Recent content by MAMDALI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la EU linajadili kumpitisha Lissu kuwania Tuzo ya Sakharov

    Wewe ndiyo mhuni wa kwanza
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la EU linajadili kumpitisha Lissu kuwania Tuzo ya Sakharov

    Sorry for to say this, if mentioned 'shoga' several times means wewe ni shoga. Muda mwingine uache upumbavu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inasubiri nini kumfukuza kazi daktari aliyempiga Trafiki?

    Tunakusubiri Mloganzila Mkuu usiwe na shaka. Time will tell
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi za serikali zinaweka namba ambazo hazipatikani, Nilishasema tangu zamani Miafrika inashida fulani sio bure

    Ni shida sana. Ni bora zisiwepo. Na hata zinazopatikana mara chache sana kupokelewa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka amshauri Rais Samia amwachie huru Tundu Lissu

    KERATO MOMBAA ukivaa utu wa mnyama ni pekee unaweza kuyasema haya ila kama una ubinadam ndani yako sidhani kama ungeweza kusema hivi. Ila pengine unafanya mzaha. Ila kumbuka leo kwa TAL kesho huenda ikawa kwako kwa namna tofauti. Utunze hili bandiko lako kwa rejea ya baadae
  6. M

    JamiiForums Tanzania The US bill mandates an assessment of Tanzania's military, economic and political cooperation with China

    Tunasubiri buscket fund tuendelee na shughuli za afya
  7. M

    JamiiForums Tanzania Warioba: Kuna wakati niliambiwa nisitumie simu yangu mpaka watakaponiambia

    Kama vile ambavyo na wewe hunabudi upuuzwe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Autism spectrum disorder(ASD)
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makonda aonya Wanasiasa wanaolenga Urais 2030, aahidi kuwashughulikia wanaomsaliti Rais Samia

    Hivi anavyosema hatomsaliti Rais SSH inamaanisha Mama atataka kugombea tena 2030?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Kama upo jikoni unakula keki ya taifa ni vizuri kuilinda. Ila kila mtu ana mitizamo yake hivyo ni vizuri tuvumiliane
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Naibu Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Biteko?

    Yupo jimboni huku jana tulikuwa naye kwenye sherehe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Kesho tarehe 10 GENTAMYCINE najitolea kuwa Chief Strategist wa Maandamano ya Kistaarabu nchini ambayo hata Rais Samia atayapenda na kuyabariki

    Changamoto yako moja ni kuwa na 'Ego', nadhani hii hali hata wewe unajua. Jitahidi uwe na utulivu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana baadhi ya Wananchi wamekuwa wakifanya mzaha na mamlaka ya rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu, wanapodhibitiwa wanaanzisha malalamiko

    Mosi, mzaha unaanzia kwenye upatikanaji wa kura mil 31+ uliopelekea ushindi wa 97.7%. Pili, mbali na uharibifu mbalimbali kutokea ni kwa nini uharibifu wa vituo vya kupigia kura hujausikia popote? Huo ni mzaha wa pili, jibu ni rahisi; wakiutaja huo, uhalali wa 31+->97.7% unakuwa na ????. Hivyo...
Back
Top Bottom