milo sita ina maana kuwa saa 12asubuhi maziwa fresh, saa 2 chakula, saa 5 maziwa fresh, saa 8mchana chakula, saa 10 uji, anakaa free akinywa juice au tunda mpaka saa 2usiku chakula.
habari zenu wadau, nina mtoto wa mwaka mmoja na miezi saba lakini ni mbishi wa kula chochote, ana ratiba ya milo sita kwa siku lakini sijawahi kumuona akila kwa raha ni kilio tu nifanyeje? Uzito wake hauridhishi ana 11kgs sasa hivi. Natanguliza shukran kwa msaada!
mtoto wangu alianza kuota meno akiwa na mwaka i was worried nikaambiwa ni kawaida wengine wanawahi kwanzia miezi mitatu ya mwanzo, kama mwanao ana miez 2na nusu sidhan kama kuna tatizo, ila jaribu kuonana na dentist wa watoto kwa ushauri zaidi.
mkuu Rakims, mimi sijielewi ni kitu gan au ni nguvv gan ninayo, kwa mfano kama nataka kufanya jambo au nahc kuna kitu kitanitokea nikishamweleza mtu hlo jambo au kitu nachotaka kufanya hakitokei mfano nipo kwenye mihangaiko ya kutafuta kazi naitwa mpaka kwenye interview ila nikishamweleza mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.