Na waziri nae atakuwa kuwadi wa mabeberu au yupo na mdau wa maendeleo? Na vip ushoga ameukubali aumaana niliwahi kuona post humu LISSU alipoenda marekani zilimlaumu na kumwita kuwadi wa mabeberu na wakala wa ushoga. Nikahisi selikari yetu kweli iko na msimamo kuhusu mabeberu na ushoga. Dah...
Na waziri nae atakuwa kuwadi wa mabeberu au yupo na mdau wa maendeleo? Na vip ushoga ameukubali aumaana niliwahi kuona post humu LISSU alipoenda marekani zilimlaumu na kumwita kuwadi wa mabeberu na wakala wa ushoga. Nikahisi selikari yetu kweli iko na msimamo kuhusu mabeberu na ushoga. Dah...
Karibusana
Karibu sana Moro, kweli kuna fursa sana tu ukizichanga vema na kumtegea Mungu lazima utoke.
Ila ukiweza nambie kilimo gani ili mwenyeji tukudirect kwenye eneo husika maana Moro ni kubwa sana na mazao karibia yoote yanakubali.
Mkuu
Kuzaa wengi labda nikuunge mkono kwa lengo la kutimiza maagizo ya Mungu kwa Adam na Eva kuwa wazae waijaze dunia na kuitiisha. Ila kwa suala la kwamba labda atapatikana mwenye akili. Wa kulaumiwa sio watoto. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Kila unachokiona anacho mtoto kimetoka kwa wazazi wake, I...
Ungeiweka sura yote tu yaani jana niliipitia imejaa madini tupu.wanawake wajinga na wakorofi wamepigwa mawe ila mwanaume wazembe wazembe wapigwa risasi kabisa hebu cheki mistari ya juu na chini ya huo uloweka red. The best thread of this Sunday.
Hahahaaa! Kalijilengesha kenyewe baada ya kumpa msaada aliposhikwa na homa ghafla, basi kwakuwa kalikuwa kazur nikaona nisilaze damu enzi za ubora ili nyodo kama zote zikanishinda.
Ndugu anayoyasema yana ukweli kiimani zaidi. Mi nakumbuka zaman wakati natafuta mchumba niliwahi kukutana bint mmojai wa kipare hakika kumuacha nilisikitika kwani kwa muda mrefu kabla yake mambo yalikuwa kawaida Ila kwa hiyo miezi kadhaa yalibadilika na kuwa zaidi ya kawaida kila nilichogusa...
@Edelyn,
Absolutely true, lazima ndoa ziwasumbue. Baba sio kujitambulisha tu kila wakati kama nyau. Akitimiza majukumu yake sawasawa kwahiari yao watakuita baba na mke anakuwa malkia kuita King of the state haoni shida. Tuwaombee tu kizazi chetu.
Ingawa zipo baadhi ni OP sio mbaya umetumia haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako. Sasa unaweza kutumia haki hiyohiyo kuweka mavazi na life style ya wasio Malaya? If yes fanya mapema tuzione ntafitifi chipkizi.
Haya ni matusi na udhlilishaji kwa malkia wetu. Dogo weka kwanza division zako na GPA zako hapa tujue uwezo wako wa kufikiri. Na kama hiyo perception ni sahihi tuwekee pia copy za vyeti vya mama na bibi yako ili tuamini kuwa kumbe mwanamke kichwa anazaa vichwa tupu. Mi ni mwanaume Ila...
Hahahaaa! Best mi mwanaume wala sio mvulana. Nnajua kila jukumu langu na kulitimiza kwa uaminifu. Mi nimeongelea hiki kizazi ambacho pia nakihurumia kama wewe unavyokishangaa. Ila sio mbaya hata hivyo tangu kuumbwa ulimwengu mi najua mwanamke hajaumbiwa taabu. Hata hiyo kazi bado naona...
@Edelyn,
Umelalamika hadi umetia huruma, Ila hayo ndio madhara ya wale wanawake wa framework kutoka Harvard mnayoyafagilia ya 50/50. Si mnataka haki sawa basi vijana wa leo wamewakomoa hata kwenye mambo hayo wanataka mjitegemee 50. Ila burudan muwape kama kawaida. Na tunakoelekea mtatoa mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.