Nimesikiliza toka uwanja wa taifa katika hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi makamu wa rais wakitaka Jumamosi iwe ni mapumziko kupisha sabato. Sasa najiuliza kama waislam nao wakiomba Ijumaa nayo iwe off day ina maana tutakuwa mapumziko kuanzia Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, imekaaje hii wadau?
Asalaam.Kwa anajua kuhusu hii kitu,nimekutana nayo ijumaa mahakama ya mwanzo.Baada ya kushindwa kumuwekea dhamana ndugu yangu kutokana na taarifa kunifikia late akapandishwa karandinga.Sasa ndio nikaambiwa njoo j!3 uombe hiyo removal order,kwa mwenye uelewa mpana naomba anijuze masharti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.