Recent content by mamba1

  1. mamba1

    Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Nisaidiye namba zao maanake Instagram mie situmiii
  2. mamba1

    Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Daaaahh badili kunielekeza naona watu wanabishana ninataka sugar concentrates kwa ajili ya kutengenezea chop stick
  3. mamba1

    Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo. Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
  4. mamba1

    Riba kwenye Mabenki ni Jipu kubwa sana

    Shuka kaka nasikia sasa hivi 13 as rate!?
  5. mamba1

    Riba kwenye Mabenki ni Jipu kubwa sana

    Nasikia Crdb na Nmb wameshusha riba zao ila nahisi mambo bado magumu kwani wembe ni ule ule
  6. mamba1

    Afisa Elimu Wilaya ya Songwe ana tuhuma nyingi za matumizi mabaya ya ofisi

    Ifuatiliwe kama ni ya kweli awajibishwe kama ni uongo majungu at work
  7. mamba1

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe na watoro Sugu mashuleni

    Hii wilaya ni moja ya wilaya korofi sana ina mambo ya ajabu ajabu sana na mimi niliwahi kupewa ukuu wa shule nikaangalia mazingira nikaona isiwe nongwa nikauacha yaani mazingira ya upigaji mengi sana katika hii wilaya kutokana miundo mbinu yake kuwa korofi sana kwanza wskaguzi huwa wanatembelea...
  8. mamba1

    TAMISEMI ingilieni kati manyanyaso haya ya wilaya ya Songwe

    Lakini mtoa mada anaizungumzia songwe na sio ileje au nimekosea
  9. mamba1

    Wakurugenzi wanaoficha barua za Uhamisho wa Watumishi waonywa

    Natafuta conection nataka kuhama
  10. mamba1

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Kweli hayo mbona niko crdb sioni kitu
  11. mamba1

    Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Niambie jamani inasomeka hiyo
  12. mamba1

    Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Mishahaa inatolewa hazina maanake kuna watu wananambia Crdb unaweza kukaaa hata siku tatu bila pesa je ni ya kweli
  13. mamba1

    Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Mishara ya serikali inalpwa kupitia hazina? Au wamebadili siku hizi?
  14. mamba1

    Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Anatumia nmb lakini mishahara inalipwa na hazina?
Back
Top Bottom