Recent content by MamaZion

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wizi ndio unaosababisha wabongo washindane kuweka mafence ya ukuta au wanaepuka migogoro ya mipaka na majirani?

    Nyumba zote ulizotuonyesha hapo hazipo katika uhalisia wa maisha ya Mtanzania. Binafsi niliweka uzio kwa ajili ya usalama maana palivyokuwa wazi matukio yalikuwa mengi. Pia kuepusha fitna za Watawahoji, maana wengine hawachelewi kufanya kigodoro uwanjani kwako na hawakuombi ruhusa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi, ni sahihi kwa Mtoto kumchukia mzazi wake kwasababu ya kuachana kwa Wazazi?

    Kuna mambo mengi huendelea nyuma ya pazia kwenye mambo ya familia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanawaita wayahudu makafiri na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri

    Wakristo gani hao unaowangelea? Hao wanaofanya mikesha kuiombea Israel?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kumbukumbu iliyopitiliza

    Photographic memory
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wapo karibu zaidi na ndugu zao kuliko mume, hata baada ya kufunga ndoa na kuanzisha familia hutaka kurudi kwao na watoto, mnawaonaje?

    Mimi sijakuelewa. Yaani mtu yuko kwenye ndoa kabisa haina shida akataka kukaa kwa wazazi wake?? Hiyo mpya. Labda kama wametengana. Hapo lazima kila mtu atatafuta pa kukimbilia
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wapo karibu zaidi na ndugu zao kuliko mume, hata baada ya kufunga ndoa na kuanzisha familia hutaka kurudi kwao na watoto, mnawaonaje?

    Mkeo anaboaje ilhali amekuletea zawadi mliyoitafuta kwa furaha? Isitoshe, mwanzoni ni ngumu kutokunuka shombo ya maziwa maana pale yanatoka mengi bila mpangilio
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vitabu

    Mbona vimejaa huko mitandaoni
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mbali: Je, ni upendo au ni mtego wa kunitawala kiakili?

    Endelea na maisha yako. He doesn't care for you as much as you care for him
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tathmini za kina

    Too many questions bro
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mama yangu akisali kwa moyo na imani miaka 15+ ila bado anapitia mateso ya baba. Anaumwa pia, ila baba ndio bado ana enjoy maisha

    Utaniwia radhi kwa kusema hivi, mama yako hatapata majibu ya maombi yake. Hayupo Mungu huyo wa kumsaidia. Kiuhalisia maombi hutupa matumaini, na hutusaidia sisi kumtupia mtu mwingine (Mungu) mzigo wa majukumu yetu. Yaani, tunakimbia kuwajibika. Mfano mzuri ni huo WA mzazi wako. Anateswa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mama yangu akisali kwa moyo na imani miaka 15+ ila bado anapitia mateso ya baba. Anaumwa pia, ila baba ndio bado ana enjoy maisha

    Kaka Binafsi sikubaliani nawe katika hilo. The very essence of God ni kwamba ni Mungu wa upendo, awezaye yote, amilikie vyote. Sasa, ameniumba mimi mwanadamu mdhaifu, iweje tena leo hii miaka yote ananitazama tu? Au hanipendi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

    I wish it was
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

    Mmh... Wanunua mitihani hao 🤣. Wazazi na watoto wao wanajua
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kusafiri kwenda Ghana kunahitaji Visa?

    Asante sana. Nilisoma mtandaoni kuwa wanahitaji kuona bank statement yako isije ikawa unataka kuzamia. Je ni kweli inabidi niandae hiyo kitu?
Back
Top Bottom