TAMKO LA THBUB KUMPONGEZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KWA HOTUBA YA KULIFUNGA BUNGE LA 11 ALIYOITOA KATIKA UKUMBI WA BUNGE, DODOMA TAREHE 16 JUNI, 2020
Tarehe 16 Juni 2020, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitoa Hotuba ya Kufunga...
Wakulima Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuelekeza ununuzi wa mazao yao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.
Pongezi hizo walizitoa mwishoni mwa wiki wakati wa ulipwaji wa fedha zao baada ya kuuza choroko kwa njia ya stakabadhi ghalani katika Kata ya...
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa...
Changamoto ya usafiri ili kuwafikia wananchi katika vijiji mbalimbali kwa maofisa tarafa mkoani Njombe sasa imepatiwa ufumbuzi baada ya serikali kugawa Pikipiki kwa kila ofisa hatua itakayochochea uhamasishaji shughuli za maendeleo.
Wakizungumza mara baada ya kukabidhiwa pikipiki na katibu...
“Ndugu zangu wa Singida, tuna tatizo la corona, nikawaomba Watanzania tuombe, napenda kuwathibitishia Mungu ametusikia na janga hili limepungua sana pamoja na kwamba bado halijaisha, tuchukue hatua, hapa Singida wamebaki wagonjwa watatu wanaendelea vizuri”-JPM
“Corona ipo lakini naamini itaisha...
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imesema ipo tayari kuanza kupokea watalii wakati wowote kuanzia sasa kufuatia hatua ya Serikali kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini hatua iliyotokana na kupungua kwa kasi ya mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (CORONA) duniani.
Hayo yamesemwa leo...
Madiwani 8 wa kata 8 za wilayani Tunduru pamona na kada maarufu KIOSA KIOSA wameachana na Chama Cha Wananchi CUF na kujiunga na CCM asubuhi hii.
Madiwani hao wote 8 wamepokelewa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho na viongozi mbalimbali wa mkoa na wilaya.
Mkuu wa Wilaya ya...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Virusi vya Corona kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri.
"Pale Amana kuna wagonjwa 12 na wengi wana hali nzuri, Mloganzila kuna wagonjwa 6 na kule...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7 kwa mwaka 2019 sawa na ilivyokuwa kwa mwaka 2018.
Dkt. Mpango ameyasema hayo Bungeni mjini Dodoma wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021 na kueleza sekta ambazo zinaongoza...
Jumla ya shilingi Bilioni 16.18 zimekusanywa na mamlaka ya mapato Tanzania mkoani Kagera kwa upande wa kodi za forodha na kodi za ndani kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari-Machi 2020 sawa na 110.03% ikiwa lengo lilikuwa ni kukusanya shilingi bilion 14.7
Hayo yamebainishwa na Meneja wa T.R.A...
aasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imetoa taarifa juu ya utendaji kazi kwa majumuisho ya miezi mitatu ambapo wameweza kuokoa zaidi ya shilingi Millioni hamsini zilizokuwa mikononi mwa viongozi wa vyama vya ushirika SACCOS katika wilaya za Mvomero na Gairo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametoa rai kwa Watanzania, kuacha kutoa taarifa za uzushi za vifo kuwa kila kifo kinachotokea kinasababishwa na Virusi vya Corona.
Hayo ameyabainisha leo Aprili, 29, 2020, wakati akitoa taarifa ya mwenendo wa maambukizi ya Virusi vya Corona hapa nchini, ambapo...
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imeainisha mikakati 10 ya muda mrefu inayolenga kuinua soko la utalii nchini ambalo kwa sasa limeathirika na mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (CORONA) unaosababishwa na kirusi cha (COVID-19) na kuenea katika nchi mbalimbali duniani.
Hayo yamesemwa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.