Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta rafiki wa kike, awe anajiheshimu, anamawazo ya maisha, sio muhuni wala mpenda starehe za ajabu, awe anapenda kusali na mwenye hofu na mungu, msiri msafi na mwenye malengi. Ni pm no yako nipo Dar es salam...
Ila kuanzia mwaka jana kinataofauti na miaka mingine, kama anarisit masomo saba atafanya mitihani 14., kwa maana paper 1 na2.. Ni pagumu awe tu seriousy if he ia not serious kufeli njenje
Mimi nilisoma qt kisha nikajiunga pc nikafaulu kwa marks zifuatazo.(2014)
eng-B
lite-C
Geo-C
kisw-C
Bios-D
civ-D
hist-D
Math-F
nataka kusoma advance ya mwaka mmoja 5&6 HGL kuna madhara yoyote? Zipi faida zake?
Wewe jaribu kumuonyeshea laivu....mpeleke hapo baar anapofanya kazi huyo manzi na hiyo time ya kuondoka na jamaa zake aone pia. Bila kumsahau huyo mshkaji mwenye UKIMWI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.