Recent content by Mamasunday

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushuuda wa mashine za kutengeneza mkaa

    Samahani hiyo mashine bado ipo au ilishanunuliwa? Na km ilishanunuliwa je unaweza kuelekeza zinapatikana wapi mtu akiihitaji?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Nimependa hii idea za machine za kutengeneza mkaa ndio zipoje hizo? Upatikaji wake upoje?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mei mosi: Sina imani tena na vyama vya wafanyakazi

    Amen kwa Mungu hakuna linalo shindikana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mei mosi: Sina imani tena na vyama vya wafanyakazi

    Chomoka kama yule mtoto anayekimbia kwa kirudi nyuma kwa speed ya Duma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mei mosi: Sina imani tena na vyama vya wafanyakazi

    Unakatwa hela isiyo na mafao huku watu hawatetewi Unashangilia kuvaa t-shirt na kofia kwani hiyo hela wakiicha naweza kununua t-shirts ngapi kwa mwaka?!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mei mosi: Sina imani tena na vyama vya wafanyakazi

    Mi kesho naenda kwa Katibu wa Talgwu anitoe kwenye makato yao ya kipumbavu ya 2% sitaki kutetewa na yeyote Mungu atosha!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Hela ya kuongeza mshahara hana atakuwa nayo ya kuajiri??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Kwani kipimbi cha JK hakukuwepo na hiyo miradi mbona mbona kulikuwa na nyongeza ya mshahara? Pumbavuu kabisaa!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Sasa umefanyaje rafiki? Mimi nimeandamana peke yangu nipo nyumbani wala hata t-shirts lao silitaki.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Haaa haaaa Serikali tajiri ina mahela ya kukopesha leo hela zimeenda wapi?Au zile 1.5 ambazo hazijulikani zilipo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Ndio maana mimi sijaenda bora nipalilie bustani yangu Kama tumerogwa vile kuna methali inasema "Ujinga wakati wa kwenda" lakini mbona wafanyakazi wajinga wakati wa kwenda na kurudi kama manyumbu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Forced labour Low wages Taxazation Land alienation Poor technology Haaa!! haaaa !!umenikumbusha mbali sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Ndugu umenizimisha kwa muda ujuee Sasa nifanyeje sitaki kuwa kwenye rat race mpaka miaka 60 Nani apaze sauti kwamba tunataka hela zetu tunapokuwa tumechoka kufanya nao kazi,maisha yamebadilika sio lazima nife nikiwa mtumishi aaghaaa!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Yani natamani nikifikisha miaka 15 ya kuajiriwa niwaachie ofisi yao,niendelee na kazi zangu nyingine, hapa nalia je watanipa hela yangu nikitaka kujitoa kwa miaka hiyo ya utumishi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa BBC: Vitisho na mauaji yawatisha Watanzania kuandamana kudai haki zao

    Maandamano hayajashindikana,hukuona polisi wameandamana badala ya wananchi? Yaani polisi nchi nzima wamejipa kibali cha maandamano wenyewe kuanzia 25/04/2018-26/04/2018
Back
Top Bottom