Recent content by mamasuma

  1. M

    JamiiForums Tanzania natafuta ofisi - ubungo-shekilango or ubungo to mwenge

    natafuta ofisi ya kupanga, nahitaji sehemu kulipo na ofisi zingine pia, sehemu iwe ya kuvutia kwashughuli za kiofc/isiwe frem tafadhali. mahala/sehemu from eneo la ubungo to shekilango au ubungo to mwenge.mwenye taarifa ani pm thanks
  2. M

    JamiiForums Tanzania HIV na undugu

    Hi wadau, mie sijui ndo kusema sijapata elimu ya ukimwi kisawasawa ama vipi, yaani nina mgeni nyumbani kwangu ambae ni ndugu na ana mtoto mdogo sasa wote wapo positive yaani yeye/mama na mtoto wake, sasa namie nina mtoto mdogo 4years ambae tangu wageni hao waje amekuwa kicheza sana na yule mtoto...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ‘Watanzania changamkieni biashara Sudani Kusini’

    usalama mhhh, juzijuzi mkenya kapigwa risasi kule tena mwalimu wa nursery school maskini eti sijui hakusimama wakati bendera inapandishwa, mie nilikuwa interested saana sana lakini usalama kwanza!
  4. M

    JamiiForums Tanzania natafuta office

    Hi Wadau, natafuta ofisi iliyotulia maeneo ya Ali Hassan Mwinyi Road au Morogoro road (from Ubungo to Shekilango), jengo liwe zuri, (square m 12 hivi), bei iwe reasonable, please kama unajua niandikie seclimate@gmail.com, asante kwa ushirikiano.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Vyumba Vitatu inauzwa Mwanza

    Nyumba ina vyumba vitatu (master 1, two bedrooms), sitting room, public toilet/bathroom, kitchen, na ina uwanja mkubwa inauzwa maeneo ya kiseke mwanza, ni karibu na airport, ipo sehemu nzuri sana, kama unahitaji please call me at this number 0758 405474 or email seclimate@gmail.com. Ni 60 million
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    yani nikipanda ndege huwa napenda wanipe macadamia, kwakweli ni taaaamuuu sana nazipenda sana, ila katika supermarket huwa zina bei kwakweli lakini zipo poa sana ni kuzidi korosho, endelea kuseek info uanze mwanangu nahakika utamake,make sure unacontact watu wa kilimo may be kuna mbolea za...
Back
Top Bottom