Nyumba ya Vyumba Vitatu inauzwa Mwanza

Nyumba ya Vyumba Vitatu inauzwa Mwanza

mamasuma

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
6
Reaction score
4
Nyumba ina vyumba vitatu (master 1, two bedrooms), sitting room, public toilet/bathroom, kitchen, na ina uwanja mkubwa inauzwa maeneo ya kiseke mwanza, ni karibu na airport, ipo sehemu nzuri sana, kama unahitaji please call me at this number 0758 405474 or email seclimate@gmail.com. Ni 60 million
 

Attachments

  • kiseke 2.jpg
    kiseke 2.jpg
    1.1 MB · Views: 232
  • kiseke 3.jpg
    kiseke 3.jpg
    178.9 KB · Views: 180
Dah hizi nyumba za NSSF leo baada ya wewe kuinunua kwa 30 M imepanda value kuwa 60milion hizi bei majiandikiaga tu.....ungesema 30M fasta ungepata wateja.

Dah sio dar es salaam hii.
 
Pole sana lakini kama unachukua TZS 30M, hakuna dalali utapata wateja, harafu sema ukubwa wa kiwanja. Airport na kiseke wapi na wapi au ndo kutafuta wateja wa nje ya mwanza kijanja???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom