Recent content by MaMals

  1. MaMals

    Nahitaji kujua hili kuhusu kusajiri jina la biashara.

    Nina wazo langu la biashara ambalo lipo katika hatua za awali kabisa ambapo itachukua mpaka miezi 4 kukaa sawa. Sasa nafikiria kusajiri jina la biashara ili iwe mwanzo tu kulifanyia kazi wazo langu. Kwa sasa naona haina ulazima wa kuwa na ofisi na sihitaji kujisajiri katika mamlaka za kodi na...
  2. MaMals

    Kusoma fani nyingine baada ya degree ya kwanza inakuwaje?

    Habari zenu wadau, naombeni ushauri katika ili, kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijilaumu kwa kusoma fani ambayo siyo 'passion', Ualimu. Hivi sasa nipo mwaka wa pili naingia wa tatu. Sasa nafikiria baada ya kumaliza degree ya kwanza nijiendeleza kimasomo katika masuala ya uandishi habari. Je...
  3. MaMals

    Msaada: Nguvu za kiume zimenizidi, nachelewa kufika kileleni, nifanyeje?!

    Ebu ngoja waje wataalam..maana tatizo na mm linanihusu ingawa sio masaa matatu. Mie nikipata la kwanza..la pili kupata ni shughuri!!
  4. MaMals

    Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Habari zenu wadau, Hatimaye leo nimepata fremu ya biashara na nimejipanga kutoa huduma za stationary katika mji wetu wa Tukuyu. Nimepata changamoto kidogo; Jina la biashara. Nina dhamira ya kupata jina ambalo ni unique kidogo. Usiku kucha nimefikiria nimepata baadhi ya majina ambayo ni...
  5. MaMals

    Mwenye uelewa na hili la usps..

    Mkuu Hivi kuna uwezekano wa mzigo..kupotelea hewani kabla haujafika bongo?
  6. MaMals

    Mwenye uelewa na hili la usps..

    Msaada wa mawazo wadau. Kuna bidhaa nilinunua Ebay kutoka U.S.A. Ikatumwa kupitia USPS toka tarehe 9..mwezi uliopita, bado nikitrack inaonekana ipo njiani. Nina Wasiwasi maana imechukua mwezi na siku 4. Msaada mwenye ujuzi; Standrad delivery kwa hawa USPS Ni siku lin?. Natanguliza shukrani.
  7. MaMals

    Jinsi ya kuanzisha jarida

    Habari zenu waungwana! hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha jarida format kama yale ya BANG!, ONSPOT, VIBE, KITANGOMA . Ila idea yangu ni unique kidogo na nimefanya research nimeona kuna tija endapo nikijipanga vizuri, litahusisha michoro na narrations .Nahitaji ushauri wenu, Je nahitaji...
  8. MaMals

    Baada ya kufanya manunuzi ebay, sasa jinsi ya kutrack mzigo!

    Nimenunua mzigo ebay wiki moja sasa, baada ya siku kadhaa nilipata email kwamba mzigo umeondoka UK, nikapewa na track number pamoja na link ya website. Je hii track number inafanya vipi kazi, msaada tafadhari.
  9. MaMals

    Manunuzi ebay!! Msaada kitu cha muhimu!!

    Wasalam wanajf!! Siku kadhaa sasa Nasoma taratibu za kufanya manunuzi mtandaoni kutumia ebay. Katika kusajiri ebay account Kuna baadhi ya vitu sijavielewa mfano address, Postal code. kwa sasa nipo mbali na nyumbani, nasoma chuo kimoja hapa Dodoma. Je, ni naweza kutumia address ya chuo kama...
  10. MaMals

    Maeneo gani yenye mvuto Dar, Mgeni napaswa niyatembelee?

    Mkuu mie nadhani siyo sehemu za starehe tu. Muhimu sehemu ambazo nitajifunza kitu..labda mambo ya kihistoria, maajabu fulani yaani sehemmu ambazo zinavutia
  11. MaMals

    Maeneo gani yenye mvuto Dar, Mgeni napaswa niyatembelee?

    Nadhani usafiri wa daladala utafaa
  12. MaMals

    Maeneo gani yenye mvuto Dar, Mgeni napaswa niyatembelee?

    Yah..ntafikia kwa ndugu yangu kigamboni
  13. MaMals

    Maeneo gani yenye mvuto Dar, Mgeni napaswa niyatembelee?

    Bajeti laki mbili na nusu ingawa itategemea ikiwezekana ntaongeza kidogo.
  14. MaMals

    Maeneo gani yenye mvuto Dar, Mgeni napaswa niyatembelee?

    Salaam zenu Wanajf! Mimi mwenyeji ya mkoa wa Dodoma, Moja ya malengo yangu mwaka lilikuwa kutembelea jiji la Dar es salaam maana sijawahi fika hata siku moja. Kabla sijamaliza mwaka nimepanga kuja jijini Dar es salaam ili nifanye utalii wa kawaida ndani ya nchi yangu. Ewe mkazi wa Dar es salaam...
Back
Top Bottom