Recent content by mamalao

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Hv single mothers wanatokana na uzembe wao au ni wanaume kukimbia majukumu?? Hv ingekuwa kila mwanaume anawajibika kwa matendo yake kungetokea na single mothers....yan kabisa kuna mwanaume na akili zake timamu kapachika mimba halafu kakimbia, mwingine ameona isiwe shida ngoja nilee mnamwona...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanakupenda, wanakutamani na kukutongoza sababu uko kwa mumeo, Achika uone

    Mwanaume umeniona na pete yangu kidoleni bado unanitongoza....aisee kwanza naamini umeniona mm ni cheap yaani niponipo wakuchukuliwa muda wowote tu...hapo ndio tutakapoanzana vzr
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanakupenda, wanakutamani na kukutongoza sababu uko kwa mumeo, Achika uone

    Wapo wengi tu...akisema HAPANA na huku macho yakikuangalia kwa kumaanisha hadi mwanaume unaangalia chini...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    wangoni...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wake mume wangu amenitongoza

    uko njia panda??
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mwanamke kutokuoga baada ya tendo la ndoa?

    Hukumpenda tuuu usitudang'anye hapa...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemwambia mchumba wangu ukweli kuwa nina mtoto, analia toka jana akinilaumu

    umefanya jambo jema sana kumwambia mapema...ni uamuzi wake kusuka au kunyoa...ila nawe umetisha, una mahusiano ya miaka mitatu na mtoto wa miaka mitatu? yan ulianza kuchepuka mkiwa wachumba..je ukiwa kwenye ndoa?? ndio maana analia hakuelewielewi...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti hii ya Kimaumbile kati ya Wanawake hizi nchi na wa Kitanzania inatokana na nini?

    hizo nchi zote mbona km zina ufanano wa hali ya hewa? kwann usingeongeza nyingine zenye sifa tofauti?[emoji89]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nissan X-Trail mpya

    sina chura nina mikono na miguu ndio itakayotumika kuendesha..
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti hii ya Kimaumbile kati ya Wanawake hizi nchi na wa Kitanzania inatokana na nini?

    umeamua kuvuka boda?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nissan X-Trail mpya

    [emoji15]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nissan X-Trail mpya

    nina leseni ya udeleva tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nissan X-Trail mpya

    mm naitaka hiyo ya kwako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    umenishangaza had nimekot post ya mtu mwingine...ila pia nimegundua umri unaweza kuwa unakuruhusu..but a real man hawez kushaur hivyo...
Back
Top Bottom