Mkuu Chasha... Nilikutafuta kule kwenye thread yako ya maonyesho ya kilimo Kenya. Ulifanikiwa kwenda? Can you share anything toka huko...?
Back to topic: matunda kama strawberries, grapes, apples za kusini, na mboga kama capsicum (hoho), green beans, baby corn, etc ndio nimeshuhudia yakilimwa...